Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Accounting is not for everyone. Nyie bakini na kingereza cha intanashoni, Edukashoni etc

Learn free

Basic Accounting:


Asset = Capital

Then tunaendelea kama ifuatavyo

Asset = Capital + Liabilities

Baada ya kufanya biashara na kupata faida au hasara:-

Asset = Capital + Liabilities + Retain Earning


Retain Earning = Revenue - Expenditure



Finally:

Asset + Expenditure = Capital + Liabilities + Revenue
DR ----------------- CR



Hii ndiyo introduction to Accounting​

Kama maths za class four ndio zilikushinda, accounting ndio utaweza?😂😂🤣
 
Kenya Police Bullets.

1724162278976.jpeg
 
Hivi Wabongo hamuwezi kubali kushindwa hata siku moja? 🤣 🤣
Tupe mbuga zao hapa. Idadi kubwa ya wanyama ulimwenguni ipo Tanzania kuanzia Simba kuendelea. Apart from Kruger wanayoshea na nchi zingine ni mbuga ipi tena?

Kuna nini cha ajabu kwenye mbuga zao zaidi ya wanyama wachache kuzurura hovyo?
Kuna maajabu ya bonde la Ngorongoro? Kuna maajabu ya migration ndani ya Serengeti? Kuna maajabu ya Simba kupanda kwenye miti ndani ya Ruaha?

Hakuna mbuga yeyote ulimwenguni yenye camera nyingi za kurecord maisha ya mbugani zaidi ya Serengeti.
 
Majirani, naombeni muoshe matongotongo hapa, mambo ya station zenu hazina canopy mtuache, Mambo ya treni zenu zipo juu muache.
Nataka muone jinsi treni za kisasa zilivyo huko duniani.


View: https://youtu.be/Q1zuku6gQzM?si=smnw5IK8GH7TBDFz

Hakuna tofauti na zetu na zetu huu ni mwanzo tu. Zitashuka za nguvu mno. Kwa sasa ni kutoa tongotongo raia kwanza. Ni ngumu kuwaletea Watanzania treni za Kenya wakakuelewa. Tayari wameshaonja bidhaa bora na hawarudi nyuma.
 
Back
Top Bottom