Our sister was on record for a hat trick.Meanwhile your sister is unemployed 😂
Our sister was on record for a hat trick.Meanwhile your sister is unemployed 😂
Hii sector mtupe maua yetu mapema
View: https://www.facebook.com/share/p/Kh7Tp45GG2gAdEcD/?mibextid=xfxF2i
Usiwe na wasi wasi, kitu kinachoifanya Bandari ya Dar iwe juu ni kwamba mzigo wa kutoka upo, na utazidi kuepo kwa siku zinazokuja. Meli ikija hapa haiondoki tupu. Sasa huko Msumbiji meli zitaondoka na nini??Hapa kweli tunahitaji akili ya ziada sana.
Kiswahili na miji wapi na wapi? Kiswahili kimeanza kabla ya mji wowote hapa East Africa. Kiswahili kimeitangulia Kilwa na Zanzibar. Kiswahili kimeanzia Lamu kabla Lamu uwe mji. Soma historia.Mbona anatudanganya huyu!?😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁
Kiswahili kimeanzia pwani ya Tanganyika miji ambayo ilikua kabla hata ya miji ya Lamu na Mombasa.
Na kiswahili asilimia 60 ni maneno ya kibantu asilimia ilobaki ni maneno ya kutoholewa lugha za kigeni.
Wewe kwa ile hostoria mliyosoma una kipi cha kuzungumza au kumtambia mtu kuhusu historia ya lugha .? 😂😂😂 kiswahili chenyewe hujui kuzungumza.. jinga kweli wewe.Kiswahili na miji wapi na wapi? Kiswahili kimeanza kabla ya mji wowote hapa East Africa. Kiswahili kimeitangulia Kilwa na Zanzibar. Kiswahili kimeanzia Lamu kabla Lamu uwe mji. Soma historia.
Taja jina la mtu aliyeanzisha kiswahili.Kiswahili na miji wapi na wapi? Kiswahili kimeanza kabla ya mji wowote hapa East Africa. Kiswahili kimeitangulia Kilwa na Zanzibar. Kiswahili kimeanzia Lamu kabla Lamu uwe mji. Soma historia.
Hivi Wabongo hamuwezi kubali kushindwa hata siku moja? 🤣 🤣South Africa ya kwanza halafu kwenye bandiko wanaweka picha ya Ngorongoro crater? Ndo yale yale ya Mandela kutambulika kama mkombozi wa Afrika.
Baboon anaita binadamu jinga. It’s really worrying 😂😂🤣👇👇Wewe kwa ile hostoria mliyosoma una kipi cha kuzungumza au kumtambia mtu kuhusu historia ya lugha .? 😂😂😂 kiswahili chenyewe hujui kuzungumza.. jinga kweli wewe.
Ona huyu kuku sijui anaongea nini.Kiswahili na miji wapi na wapi? Kiswahili kimeanza kabla ya mji wowote hapa East Africa. Kiswahili kimeitangulia Kilwa na Zanzibar. Kiswahili kimeanzia Lamu kabla Lamu uwe mji. Soma historia.
Na hii imetoka kenya au 😅😅😅😅We hiin’t produce fake buses😂🤣😂
Nyie simulishazoea kudaganywa sasa kuna ajabu gani tena mukidangnaywa 🤣Okay sawa basi KQ imepata hasara Kama atcl are you happy now 😂😂
meta ushahidi wamepewa bure na serekali leta ushahidi hawalipi parking leta ushahidi bill inaenda ikulu nifunge acc sasa hvi, au ni hasira tu 😂😂😂😂Ndege wamepewa bure na serikali
Parking hawalipi wamepewa waiver
Bill ya mafuta inapelekwa ikulu
Hasara tangia 1970 😂😂😂
Kuku wa kizungu huyu,eti anakwambia lugha na mji haviendani.Wewe kwa ile hostoria mliyosoma una kipi cha kuzungumza au kumtambia mtu kuhusu historia ya lugha .? 😂😂😂 kiswahili chenyewe hujui kuzungumza.. jinga kweli wewe.