The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Duh aloo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mzee hizi ni silaha za kupambana na Cairo na Johannesburg na sio kijiji cha dar slum
Duh aloo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mzee hizi ni silaha za kupambana na Cairo na Johannesburg na sio kijiji cha dar slum
Umeongea Opposite, Ethiopia ndio ameagiza mizigo yake ya kwanza kupitia kenya pale Lamu port.Malawi hawana mizigo ya maana na bado watarudi tz na nyie mzigo ya Ethiopia soon inaenda Somalia
Mzee kama ni kubwa sema nikupake mafuta, si unajua napiga shoti 7 😁Kazi kwelikweli 🤣🤣🤣🤣👆👆
Kwani hii ni SGR station?😂😂🤣Kwan c unajua ujenz bdo unaendelea au nyinyi mlishamaliza?🤣
View attachment 3073127
99% of the bookings ni wenye wanaenda Dodoma lakini wamelipa pesa Pugu 😂😂🤣🤣😂
Data cooking, amb wa Japan amepanda economy na iko empty 😃
Wewe ni kichaa hujui kama kuna watu wameshukia hapo katikati au muda wa kupiga picture watu hawakua yet full boarded ila desperation is agonyData cooking, amb wa Japan amepanda economy na iko empty 😃
Mlipenda kweli iwe white elephant kama yenu lakini wapii! 😁😁99% of the bookings ni wenye wanaenda Dodoma lakini wamelipa pesa Pugu 😂😂🤣🤣😂
Royal pia seats are empty😂😂🤣Data cooking, amb wa Japan amepanda economy na iko empty 😃
It’s already white elephant and that’s why it has already stalled 5 times in month😂😂🤣Mlipenda kweli iwe white elephant kama yenu lakini wapii! 😁😁
Andaa bucket ya machozi sababu utalia sana 😂😂It’s already white elephant and that’s why it has already stalled 5 times in month😂😂🤣
Andaa bucket ya machozi sababu utalia sana 😂😂
View: https://x.com/magwaz3/status/1825049663096881196?t=ac_BBWyUVnga3LE9BwV_1A&s=19
Keep cryingDoes this dispute the fact that yenu imekwama mara tano kwa mwezi?😂😂🤣
Vi apartment nzee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Andaa bucket ya machozi sababu utalia sana 😂😂
View: https://x.com/magwaz3/status/1825049663096881196?t=ac_BBWyUVnga3LE9BwV_1A&s=19
Soon anaamia Somalia hivi lamu white elephant port Bado ipo?Umeongea Opposite, Ethiopia ndio ameagiza mizigo yake ya kwanza kupitia kenya pale Lamu port.