Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Hata ya Dodoma hakuna lami😂😂🤣. All Kenyan SGR stations are connected with tarmac roads.Venus Star, ona huyu keshalewa chang'aa. Akiona moro anahisi ni dom
Hata ya Dodoma hakuna lami😂😂🤣. All Kenyan SGR stations are connected with tarmac roads.Venus Star, ona huyu keshalewa chang'aa. Akiona moro anahisi ni dom
Eti wanajifariji kwamba hapo si Dodoma wakati ni 200km kutoka capital city na hakuna lami. Vuta picha mvua ikinyesha Una panda treni na tope 😂Iwe Dodoma, iwe Morogoro zote ni aibu.
Dodoma can’t even be compared with Bangladesh Cities😂😂🤣Tuliambiwa Dodoma can only be compared to European cities.😂😂
Ebu tuonyeshe hiyo yenye bado haijaisha? Wewe ni mzee bwana, so wacha kujifanya kama kijana mdogo. Pea umri wako heshima.Hata yq Ukunyani haijaisha!
Ambassador anabebwa na pikipiki kutoka SGR station juu hakuna lami 😂😂🤣🤣Picha za Ambassador wa Japan, hakuna paved road wala public transport ni mwendo wa vumbi juu ya boda boda. 200km from dar slum 😂
View attachment 3073029
Mimi ntaamini huyo ambassador and not you. Amasema there’s nothing around the 10km stretch and the roads are unpaved😂😂Acha kukurupuka. Kasema Morogoro sio Dodoma.
Kuna kakipande kutoka Main road ndo kako unpaved sio kwamba kuna 10km...
Uko unatafuta faraja. Endeleeni na gari moshi zenu hizo
Hki unachoongea unatoa wapi🤣 station ya dodoma inatazamana na Main road inayokwenda iringa. VP bna wew🤣🤣🤣Hata ya Dodoma hakuna lami😂😂🤣. All Kenyan SGR stations are connected with tarmac roads.
Fully booked makwapa 😂😂🤣🤣😂.Watakwambia treni ya kesho kutwa tayari iko fully booked kumbe wanapika data 😃
Duh mbona picha za zamani sana, vipanya viliondolewa kitambo kabla hata sijaingia form five mzee.If that's the case then what will we say about these ones?
View attachment 3072652View attachment 3072653View attachment 3072654
Mnapenda kujipa matumaini sana
Kutazamana sio shida. Show us the connecting road before nikuonyeshe barabara ya vumbi huko😂😂🤣Hki unachoongea unatoa wapi🤣 station ya dodoma inatazamana na Main road inayokwenda iringa. VP bna wew🤣🤣🤣
Is it a space or a vacuum?😂😂🤣.Office space is understable! Ila the whole Mosque being counted as office/retail space, a big NO! That happens only in Ukunduni!
Jamaa aliingia village ya Migori and after tulimexpose aliacha kutuma picha😂😂🤣Morogoro sio Tanzania?? The fact hapo ni Moro makes it worse kabisa sababu its closer to dar slum than Dom. Mwenzenu ameingia migori Jana kila mahali ni carpet alafu tukiiwaita vumbi nation mnanuna
Mzee wa apartment, yn yeye akipigwa tu atakuwekea hivi vipicha miaka nenda rudi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Leta tuone bongolala. Unafikiri Nairobi pia ni jiji la kishamba kama hiyo yenu ilijazwa uswazi kila Kona na mpangilio wa kihovyo?
This is an organized city, not some glorified fishing village I knowView attachment 3072661View attachment 3072662View attachment 3072665View attachment 3072669View attachment 3072670View attachment 3072671View attachment 3072673View attachment 3072684View attachment 3072667
Alikuja Mombasa akaondoka bila picha mbovu, saivi ameibuka migori akitafuta sehemu mbovu na microscope bado mambo ni vile vile ...Jamaa aliingia village ya Migori and after tulimexpose aliacha kutuma picha😂😂🤣
Hello baboon I can see you are back. How is the forest?😂😂🤣👇👇Inawezekana kusoma kiswahili hujui 😂😂😂😂
Baada ya chokochoko za lake Tanganyika, Malawi imemwaga mboga.
View: https://x.com/AfricaFactsZone/status/1824853477899862135?t=v2_MA6Mam2cnC0FdueewHA&s=19
Hizo ni silaha nzito hata Cairo na Jo'burg hazina majibuMzee wa apartment, yn yeye akipigwa tu atakuwekea hivi vipicha miaka nenda rudi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
The first picture that area is already tarmacked. Ntakuletea the picture tomorrow.eti ya kufananisha na cairo na jo'burg!bwege ushawahi kufika luanda au harare kweli!
View attachment 3073085View attachment 3073086
Kwan c unajua ujenz bdo unaendelea au nyinyi mlishamaliza?🤣Kutazamana sio shida. Show us the connecting road before nikuonyeshe barabara ya vumbi huko😂😂🤣