Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lazima nikukumbushe ujinga wako.
Enjoy this wonderful view of Mombasa😎
Screenshot_2024-07-31-12-09-26-18_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
 
Then why wanaandamana? Pesa ipo juu kwenye thaman, mshahara mzuri why wanaandamana? Meaning inflation ni kubwa maisha magumu. Which means economy yenu ya uongo.
Hakuna mwenye hutosheka na pesa. Hata wakilipwa a billion each bado wataandamana tu.
 
Ndiyo kenyewe hako, tatizo kakijaribu kuweka private life yake humu inamkataa, yn unamuona kabisa jamaa ana life ngumu, life haiongopi, kama uko poa utaonekana na kama life ngumu utaonekana tu.
Life ngumu huwa inaonekana kupitia kucha and fingers and going by the picture of these your nails, it seems unateseka sana maishani mwako😂😂🤣.

Kwanza Ukimwi na unaongea hapa.

IMG_0483.jpeg
 
Hatuli njiani tunatumia mda mfupi sana unakuwa umefika unapo kwenda sio masaa 8 kama kundurenda
So zile korosho na juice huwa mnapewa ni mawe? Just accept that you will never have a dinning coach.😂😂
 
Back
Top Bottom