Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mume wao amekula hasara ...
IMG_20240818_091038.jpg
 
Wakenya mpo desperate sana. Hii ni proof kwamba hizi account kwenye x.com ni zenu.

Check huyu hapa ame register juzi juzi tu.

View attachment 3073079
Usituambukize tabia yako ya kumiliki pseudo accounts . Kule nairaland ulikua na mbili, ktalk mbili na JF Una account Saba. Unafkiri hatujui tabia yako ya Ku like posts zako ??
 
Usituambukize tabia yako ya kumiliki pseudo accounts . Kule nairaland ulikua na mbili, ktalk mbili na JF Una account Saba. Unafkiri hatujui tabia yako ya Ku like posts zako ??
Hiyo ni Account yako kijana. By the way Tanzania kwa sasa do not deal with trivial information. Leta Analytical issues tutakusikiliza.
 
Back
Top Bottom