Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mwenye hutosheka na pesa. Hata wakilipwa a billion each bado wataandamana tu.
Usitake kutudanganya hapa.
Tulikua tukitizama habari raia wakilalamika kipindi cha maandamano kuwa maisha yako juu sana kiasi hayaendani na hela wanayotafuta.
Yani kama ukisema upige mahesabu basi ni sawa hadi mkate unaulipia kodi ama ushuru.
Usidhani sisi tulikua hatufuatilii,na hapa East Africa Kenya ndio mnaongoza kwa inflation rate.
 
Fully booked makalio, below ni economy na royal class. Ukiingia online hamna space, wanadhani wanatukomoa kumbe wanajikomoa wao 😂😂
IMG_20240818_110724.jpg
IMG_20240818_110731.jpg
 
Bloggers are people that can be hired anytime. It’s not the first time your government has hired Kenyan bloggers 😂😂🤣
Sidhani Kama yuko twitter huyo, CCM inatulipa kule x tuwatukane kina Maria Sarungi na Ex mayor ubungo..
 
If what you are saying is true, Kenya haingekuwa inaongoza kwa importation of vehicles ukanda huu. Ingekuwa ni Tanzania ndio inaongoza.

Magari kuwa expensive haizuii wakenya kununua. Ndio maana tunawaambia huku kila siku kwamba middle-class yetu ni kubwa kushinda yenu but you've always objected this. Kama wakenya hawanunui magari because of the high prices, hizi magari mengi zinazoagizwa Kenya ni watanzania wanazinunuanua?
Hizo gari mbona hatuzioni barabarani zaidi ya probox 99%
 
Back
Top Bottom