ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,418
- 88,511
Hivyo ni kusema wote tuliopo kwenye huu Uzi ni desperate, you included. Is that your point?Halafu usijifanye kama vle ni mtu safi sana, ungekua haupo disperate usingekuwepo hpa kweny huu uzi.
Huyu jamaa anapost miradi iliyozinduliwa na Ruto.. lkn baada ya kuzinduliwa hakuna kilichofanyika (wamekula hela), na bado wanaizindua tena kwa mara ya pili miradi ileile
Pitien hii acc yake
View: https://twitter.com/MoraraKebasoSnr/status/1824683451213291720?t=2WxHmXq07bgdMFdilDrQuw&s=19
View: https://twitter.com/KOT_Muisraeli/status/1823722450779299843?s=19
Juakali Facilities hadi wadanganyika wanatamaniJua kali facility 🤣🤣🤣🤣
Yani kuwa na hoteli ya kwanza kwenye ukanda itawafanya muwe kama Europe? If that's the case, kumbe sisi tulishafika Europe kitambo.Hawa nyangau tunawapiga gap mdogo mdogo tuu wakija kuamka Europe is on their next door. Tanzania to Become First Sub-Saharan African country to Introduce The Ritz-Carlton brand | HowAfrica Latest news, views, gossip, photos and video
Juakali Facilities hadi wadanganyika wanatamani
View attachment 3073002
View: https://x.com/AbroadTanzania/status/1824763931010986452?t=UH8_SS54Y1E2mmoKuUAuOA&s=19
Section ya Kenya ilifika mpakani kitambo sana. Mifukara wa South bado wanahangaika kutembeza bakuliHata yq Ukunyani haijaisha!
Yani hapo OP andhania ni Nairobi laiti angejua ni kisii hasira zingepanda zaidi 😂Wengi wao hapa wanatumia maneno ya kejeli na dharau Kwa projects kama hizi kutoka Kenya lakini deep down wanatamani sana na kujiuliza where the rains started beating them. Denial itawaua.
Na wangejua that is just Kisii town Wala sio Nairobi au Mombasa😂😂
Kwahivyo morogoro sio Tanzania ama senge Sana 😂😂😂😂Venus Star, ona huyu keshalewa chang'aa. Akiona moro anahisi ni dom
NairobiWalker kuja uone hii. Barabara from Dodoma SGR Station to Dodoma town is unpaved 😂😂🤣🤣👇👇
View: https://x.com/JapanAmb_TZ/status/1824813226783109320
Watakwambia treni ya kesho kutwa tayari iko fully booked kumbe wanapika data 😃
Office space is understable! Ila the whole Mosque being counted as office/retail space, a big NO! That happens only in Ukunduni!What do you know about malls yet you don’t have one in Tanzania? Banks zile ziko kwa malls zinakuanga wholesalers?
Kwan hapo ni Dodoma au Morogoro?Tuliambiwa Dodoma can only be compared to European cities.😂😂
Morogoro sio Tanzania?? The fact hapo ni Moro makes it worse kabisa sababu its closer to dar slum than Dom. Mwenzenu ameingia migori Jana kila mahali ni carpet alafu tukiiwaita vumbi nation mnanunaAcha kukurupuka. Kasema Morogoro sio Dodoma.
Kuna kakipande kutoka Main road ndo kako unpaved sio kwamba kuna 10km...
Uko unatafuta faraja. Endeleeni na gari moshi zenu hizo
Na mbona haijajengwa?Acha kukurupuka. Kasema Morogoro sio Dodoma.
Kuna kakipande kutoka Main road ndo kako unpaved sio kwamba kuna 10km...
Uko unatafuta faraja. Endeleeni na gari moshi zenu hizo