Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Hii ya Leg Room akitaka kudanganya ni Ulaya hakuna atakaye kataa Kunyans nzima hadi Raisi. 😂😂

Screenshot_20240816-140012.png
 
Hazina impact kubwa kama pikipiki ndio maana pikipiki zilitolewa zikapewa sequence yake.
Mweleweshe kitu pia public transportation zinabaguliwa kwa plate number, unless uwe na chuma cha ukweli ulichokitunza.

Siku hizi bila No E humkalishi mtu serious basi, utaishia kuzoa zoa waliokosa gari na bei ndogo.

Ndio maana plate number zinakimbia.
 
Kutoka A kwenda S hazifiki hata gari 5000 kijana wangu. Piga Permutation Mathematics. Ndio maana nimekuwekea hizo ni za mwezi May.

Unataka sasa tupige mahesabu? 🤣 🤣 🤣 🤣 Let say mmefikia Z

Permutation sasa tuanza

Kenya From A to D = 4
From A to Q (I and O are always removed because zinafanana na number) = 17 - 2 => 15
Last later Tomesema mmemaliza zote mpaka Z
So itakuwa 26-2 = 24

Character permutation = 4x15x24 = 1,440
Numbers you have 3 position from 0-9 we assume mnatumia zero kwenye first position
Then itakuw 10x10x10 = 1,000

1,000 x 1,440 = 1,440,000

Kenya ipo na approximated 1,500,000 Cars​

Unataka tufanye za Tanzania?
Halafu usisahau Zanzibar ina namba zake!
 
Back
Top Bottom