The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Sauti ya mtu aliye nyikani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watarudi tu. Sio mara ya kwanza. Inefficiencies za Dar zitawarudisha.
Sauti ya mtu aliye nyikani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Watarudi tu. Sio mara ya kwanza. Inefficiencies za Dar zitawarudisha.
Hakuna kitakachowakera mana wamefika ulaya yao.They're not haters like Tanzanians. They come to enjoy the good things, not to take photos of the bad places and make themselves feel good. Shida ni wakisema kilichowakera mtaanza kufura. 🤣🤣🤣
Leo tena mm ndiyo Watchman na sio wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nikukumbuke wewe watchman wa mwarabu una nini ya kukumbukwa?
Tanga bado haina kila kitu ep. Flight connection kati ya Kampala na Tanga! Bandari inahitaji upanuzi zaidi, the good thing terminal kubwa ya mafuta Africa inajengwa pale na mradi wa EACOP! Na kuna mpango zaidi ya kuongeza gati! Tunahitaji Berths za kama 3 mpaka 4 tuwe na berths za urefu wa at least 1 km!Mbona wasichukulie Tanga?
Mkuu usifananishe Iraq na vitu vya kifwalafwala.Aloo kama Baghdad mwanangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona EACOP wasirudi? Na mbona efficiency yenu isiwafanye wabaki kwenye kupitisha Mafuta Ukunduni hapo Mombasa na mmebaki mnawatoza gharama za wizi?Watarudi tu. Sio mara ya kwanza. Inefficiencies za Dar zitawarudisha.
Waambie waiangalie Baghdad hapa. Nimevutiwa kwenda huko. Wakazi wa Iraq siyo waarabu ni WababiloniaMkuu usifananishe Iraq na vitu vya kifwalafwala.
Ni umaskini maana nyumba haina rangi haina hygiene standards na inaleta molds na uvundo na kunguni!Mwenyekiti huku huwa wana ugomvi na mwanga na Rangi ??? 😂😂😂😂
Hii kitu ndio state of the Art Mixed use Complex aka Zamzam
View attachment 3071714View attachment 3071714
Waambie waiangalie Baghdad hapa. Nimevutiwa kwenda huko. Wakazi wa Iraq siyo waarabu ni Wababilonia
View: https://youtu.be/4NvuwTRWKS0?si=IYmcoEpQ6BI4EL56
Moderator PawNairobiWalker mtu amenitumia these pictures ati they look alike. Is it true?😂😂🤣
Sama boy 255 mimi sijakutaja jina. So usije kunipigia kelele hapa😂😂🤣
View attachment 3071290
View attachment 3071289
Nafikfiri hakuelezea vizuri tuu, nilivyomuelewa ni kuwa Kenya hawasajili magari ya zamani (zaidi ya miaka 8). ndiyo maana wana magari mengi ya zamani (kama ulivyosema). Kwa kuwa ni wachache wenye uwezo wa kununua magari mapya.Anadanganya kuwa kenya hakuna old cars...mimi point yangu iko hapo.
Nilikuwa kenya last month. Nimeona old cars kibao tena nyingi probox
Huenda Mimi ni watchman ila sima sare. Unaweza niazima hiyo yako?Leo tena mm ndiyo Watchman na sio wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna nchi inaimport magari nyingi ukanda huu kuzidi Kenya?Nafikfiri hakuelezea vizuri tuu, nilivyomuelewa ni kuwa Kenya hawasajili magari ya zamani (zaidi ya mika 8). ndiyo maana wanamagari mengi ya zamani (kama ulivyosema) kwa kuwa ni wachache wenyeuwezo wa kununua magari mapya.
Waambie waiangalie Baghdad hapa. Nimevutiwa kwenda huko. Wakazi wa Iraq siyo waarabu ni Wababilonia
View: https://youtu.be/4NvuwTRWKS0?si=IYmcoEpQ6BI4EL56
Mbona hatuyaoni hayo magari sasa, ichoboy yupo huko na mpaka sasa hatujaona gari mpya hata moja zaidi ya kuona probox tu, wacheni ku fake maisha nyie fukara.Kuna nchi inaimport magari nyingi ukanda huu kuzidi Kenya?
Nenda shule kwanza uwe eligible kuvaa sare sawa na captain.Huenda Mimi ni watchman ila sima sare. Unaweza niazima hiyo yako?
Watchman tuletee data ya imported vehicles between these two countries?Mbona hatuyaoni hayo magari sasa, ichoboy yupo huko na mpaka sasa hatujaona gari mpya hata moja zaidi ya kuona probox tu, wacheni ku fake maisha nyie fukara.