Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Wengi sana wanaingizwa chaka hadi kufikia kujenga,sheria ya TZ ni ngumu mno hata kwa wazawa then ndio iwe kwa kunyan,nyerere aliona mbali mno kuweka hizi sheriaHawa wajinga wanajikuta eti wajanja kisa kuuziwa? Hawajui sio rahisi hivyo sheria zikiwepo ni ngumu kujidai unamiliki maana wakiamua hauna chako.
Kumekucha. Mkenya mwenzenu kawachana kuhusu SGR
View: https://youtu.be/TqryCZcJAO0?si=H5SDjHQOQ0Z2lH-e
Unajua permutations? Zingine ni porojo tu.Trailer za bongo zinatumia number same number plates sequence na gari za kawaida. In Kenya trailers hutumia a different sequence, same with Tractors and Heavy Machinery. Kenya ilibadilisha number sequence za motorcycles na TukTuks in 2009, Bongoslum ilifanyika in 2016.
Shida ya hawa ndugu zetu bragging nyingi sana.Mwambie na Family ya Bidyanguze wanaomiliki WORLD OIL yenye depot Kigamboni.
Halafu eti kanashindwa kununua vaseline ya kupaka huo mkono ulioparara; kazi kushinda JF toka asubuhi mpaka jioni😎😎Haka kajamaa ndo kale kanajinadi humu anapokea mshahara zaid ya tsh 3m?
Haka ndo kale ka "my PAYE is bigger than your salary"?
View attachment 3072211View attachment 3072212
Hilo sio tatizo hana tatizo lolote jamaa wa watu.Hawa watanzania wanateseka bwana. Ukitaka kujua mwenye anaishi maisha magumu angalia makucha and fingers. Huyu watchman aka The best 007 maisha inamcharaza kweli kweli😂🤣👇
View attachment 3072089
Migori kumbe imeiwacha mbali MwanzaMwarabu yupo Migori yetu anang'ang'ana kupiga magari na barabara picha kutafuta uozo wa kulinganisha na miji zao.
Inferiority complex na chuki haziwezimruhusu kuonesha picha kama hizi za MigoriView attachment 3072032View attachment 3071961View attachment 3071962View attachment 3071998View attachment 3071999View attachment 3072000View attachment 3072001View attachment 3072003View attachment 3072005View attachment 3072007View attachment 3072016View attachment 3072030View attachment 3072031View attachment 3072034View attachment 3072010
Mluu, unaona huo mkono picha ya pili.. kuwa mwangalifu sana na simu yako. Huko kila mtu kuanzia Rais wao ni mwiziAlaf miji ya Kenya misafi mashallah Yani utasema Singapore au Canada 😂😂😂😂
View attachment 3071597View attachment 3071598View attachment 3071601View attachment 3071603View attachment 3071604View attachment 3071605View attachment 3071606View attachment 3071606View attachment 3071606View attachment 3071600
😂😂😂😂😂 Kaka usipate shida hawa mm nawajua vzr mpaka rangi za chupi zao usiwe na wasiwasiMluu, unaona huo mkono picha ya pili.. kuwa mwangalifu sana na simu yako. Huko kila mtu kuanzia Rais wao ni mwizi
Unajua permutations? Zingine ni porojo tu.
Hazina impact kubwa kama pikipiki ndio maana pikipiki zilitolewa zikapewa sequence yake.Permutations nyef nyef. Trailer zenu zinatumia same sequence na gari za kawaida.
![]()
Pikipiki mulibadilisha miaka saba baada ya Kenya.Hazina impact kubwa kama pikipiki ndio maana pikipiki zilitolewa zikapewa sequence yake.
Mzee is hile mambo ya Salary yangu ilikuuma sana bwana😂😂🤣Haka kajamaa ndo kale kanajinadi humu anapokea mshahara zaid ya tsh 3m?
Haka ndo kale ka "my PAYE is bigger than your salary"?
View attachment 3072211View attachment 3072212