Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,720
- 107,165
Hawa kima somo la purchasing power ya currency utawaimbia humu ndani mpaka asubuhi lakini vichwa ni vizito.Then why wanaandamana? Pesa ipo juu kwenye thaman, mshahara mzuri why wanaandamana? Meaning inflation ni kubwa maisha magumu. Which means economy yenu ya uongo.
Huyu Balozi wa Japan hapa Tanzania 🇹🇿. Hatujamlazimisha akande kaka jirani anayolazimisha watumie saa 8 mpaka Mombasa kisa kaweka makochi mapya 🤣🤣
View: https://x.com/JapanAmb_TZ/status/1824699075331068196?t=nKK5HPG_iYJNjU8ARoaXGg&s=19
German steel je? Uingereza hawajulikani kwenye mambo ya steel!Quality ya rails/steel duniani
Inaanza na japanese steel followed by British steel
Dining coaches zinapatikana kwenye safari trains deep in the african jungle 😁Hatuli njiani tunatumia mda mfupi sana unakuwa umefika unapo kwenda sio masaa 8 kama kundurenda
kama tunaenda kuhudumia Malawi reli inayoenda kujengwa ni Cape Gauge Railway!Tunatandika reli ya SGR mpaka Mbamba bay. Hii ndio priority kwenye reli after reli ya kati.
Along the way kuna iron ore na coal
Hapa ukianbiwa ni treni ya mamtoni hii unakubali bila chenga kabisa.Hii ya Leg Room akitaka kudanganya ni Ulaya hakuna atakaye kataa Kunyans nzima hadi Raisi. 😂😂
View attachment 3072455
Chief unaua inzi kwa nyundo. Maisha hawezi elewa huyo 🤣🤣🤣Tanzania permutation
Sasa hivi tupo kwenye E
USe same calculation but put 5 badala ya 4
Character permutation = 5x15x24 = 1,800
Numbers you have 3 position from 0-9 we assume mnatumia zero kwenye first position
Then itakuw 10x10x10 = 1,000
1,800 x 1,000 = 1,800,000
Tofauti ya Magari 300,000
Hii imekaa kama restaurant ya Mama Kayaii na mzee Ojwang 🤣🤣🤣🤣Dinning Coach. Things like these you will never see in that stalling Tanzanian train.
View attachment 3072276
Hii reli inaishia ziwani sidhani kama kutakuwa na connection from there watabebakama tunaenda kuhudumia Malawi reli inayoenda kujengwa ni Cape Gauge Railway!
Hii uozo hukuti Tz,hata vijijini 😁😁Eti zile gari wanasema hakuna sahii😂😂😂View attachment 3071660View attachment 3071661View attachment 3071662
Mwithiopia amewakimbia sasa mganda anawatoka kidogo kidogo, mnyaruanda naye pia, nyang'au hana rafikiMbona EACOP wasirudi? Na mbona efficiency yenu isiwafanye wabaki kwenye kupitisha Mafuta Ukunduni hapo Mombasa na mmebaki mnawatoza gharama za wizi?