RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 59,487
- 135,422
Kenya mlibadilisha lini?Pikipiki mulibadilisha miaka saba baada ya Kenya.
Hii ni TCJ/Y
![]()
Kenya mlibadilisha lini?Pikipiki mulibadilisha miaka saba baada ya Kenya.
Hii ni TCJ/Y
![]()
Wewe weka permutation. MzeePermutations nyef nyef. Trailer zenu zinatumia same sequence na gari za kawaida.
![]()
Thanks for accepting that The best 007 can’t afford nail cutter and has to use his teeth kukata kucha zake😂😂🤣.Hilo sio tatizo hana tatizo lolote jamaa wa watu.
Hiyo picha inaonesha jamaa ni mtu wa kung'ata sana kucha ndio maana vidole vipo hivyo.
Mtu yeyote anayekula sana kucha lazima vidole viwe hivyo.
Wewe weka permutation. Mzee
Sequence za Kenya tunazijua. Current is KDQ---A
Tanzania Car Sequence is T---ETA
Weka permutation hapa acha kukimbia ovyo ovyo.
This is this year May from Kenya Tiktok
View: https://www.tiktok.com/@neshpeter254/video/7371072676598746373
Hizi number long time mzee hazitumiki. Pikipiki, Bajaji zipo na sequence zake.Pikipiki mulibadilisha miaka saba baada ya Kenya.
Hii ni TCJ/Y
![]()
dining coach a trip of 3 hours? Subiri ikianza kwenda Mwanza!Dinning Coach. Things like these you will never see in that stalling Tanzanian train.
View attachment 3072276
Mzee Kwani hupandi SGR? Mbona Sijaona Picha yako ukiwa ndani? Ama huna pesa?😂😂🤣dining coach a trip of 3 hours? Subiri ikianza kwenda Mwanza!
Kutoka A kwenda S hazifiki hata gari 5000 kijana wangu. Piga Permutation Mathematics. Ndio maana nimekuwekea hizo ni za mwezi May.Wewe gay uko A watu walishatoka kitambo, saa hii Tuko KDQ___S
Kenya ilibadilisha number za pikipiki in 2009 bongoslum hata 2016 bado mlikua munapewa deadline. TCJ/Y 🤣 🤣 🤣 Kenya hakuna pikipiki hakuna hata ile ilipata KBJ sequence, zote zilikua zishabadilishwa.Hizi number long time mzee hazitumiki. Pikipiki, Bajaji zipo na sequence zake.
View attachment 3072277
Hizo tulishaachana nazo kwenye boda boda kijana. Hazitumiki. Number zote zilizokuwa zinatumika kwenye boda boda ziliishia kwenye C na zilikuwa replaced kwenye magari. Usilazimishe kijanaKenya ilibadilisha number za pikipiki in 2009 bongoslum hata 2016 bado mlikua munapewa deadline. TCJ/Y 🤣 🤣 🤣 Kenya hakuna pikipiki hakuna hata ile ilipata KBJ sequence, zote zilikua zishabadilishwa.
![]()
Tanzania permutationKenya ilibadilisha number za pikipiki in 2009 bongoslum hata 2016 bado mlikua munapewa deadline. TCJ/Y 🤣 🤣 🤣 Kenya hakuna pikipiki hakuna hata ile ilipata KBJ sequence, zote zilikua zishabadilishwa.
![]()
Wewe rudi class jinga hii. Kumbe hata hujui mathematics😂😂🤣Kutoka A kwenda S hazifiki hata gari 5000 kijana wangu. Piga Permutation Mathematics. Ndio maana nimekuwekea hizo ni za mwezi May.
Unataka sasa tupige mahesabu? 🤣 🤣 🤣 🤣 Let say mmefikia Z
Permutation sasa tuanza
Kenya From A to D = 4
From A to Q (I and O are always removed because zinafanana na number) = 17 - 2 => 15
Last later Tomesema mmemaliza zote mpaka Z
So itakuwa 26-2 = 24
Character permutation = 4x15x24 = 1,440
Numbers you have 3 position from 0-9 we assume mnatumia zero kwenye first position
Then itakuw 10x10x10 = 1,000
1,000 x 1,440 = 1,440,000
Kenya ipo na approximated 1,500,000 Cars
Unataka tufanye za Tanzania?
Mathematics and Teargas wapi na wapi.Wewe rudi class jinga hii. Kumbe hata hujui mathematics😂😂🤣
Let’s say KDQ is constant.
The number of Vehicles in KDQ will only be calculated by the last 3 digits and a letter.
KDQ started at KDQ 000A and currently it’s at KDQ 978S.
Each alphabet letter has to reach 999 before it can change to the next, meaning A has 1000 vehicles and from letter A-S is 17 letters.
17 x 1,000 = 17,000. Remember that’s KDQ alone.
Wewe rudi class bwana. 😂😂🤣
Nothing like probability hapa. This is simple maths that just need understanding on how number plates sequence work. Hata mtoto wa class 4 anaezaifanya akapata correct answer 😂😂🤣.Mathematics and Teargas wapi na wapi.
Mathematics is not for everyone 🤣 🤣 🤣 🤣 Nenda kasome Mathematics topic ya Statistics Party ya Probability
Mzee Mimi huwa sibishani na stupid kijana. Mabishano abayo hayana tija huwa sifanyi.Wewe rudi class bwana hujui mathematics😂😂🤣🤣😂.
Simple maths inakulemea? Huko sawa kweli?😂😂🤣