Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukitaka kujua Tofauti ya SIMBA na YANGA pitia social media za timu hizi. Utagundua Simba Contents zao ni very professional. But yanga ni shida.
Nimejaribu kutafuta picha yoyote ya msanii iliyopigwa vizuri kwa yanga nimekosa. But hebu check za simba:-

Chino Wana Man

1722852218279.png

Jo Makini

1722852263617.png

Ally Kiba
1722852298290.png
 
Huu ni upumbavu gani kwa timu mbili kutumia uwanja mmoja. Kwani hakuna kingine 😂😂😂😂
Kwa sasa hatuna uwanja mwingie wenye uwezo wa kubeba mashabiki 60M. Na hii ni sherehe mdogo wangu. In future tutakuwa na viwanja vingi.
Hata huko England only Wembley Stadium Hutumika kwenye big Events.

Tatizo lako wewe ni mshamba
 
Tarehe 8 kaka utaongea lugha zote usiwe na wasiwasi 😂😂😂
Kaka Tarehe nane itafika nayo tutaiongelea. Kwa sasa tunaongea tuliyoyaona. Wanaochenza uwanjani ni wachezaji but kwa events ilivyofanyika hakika yanga hamjawatendea haki mashabiki.

ACHA KUJIFARIJI Badilikeni acheni uchawi na uswahili
 
Shida yao yote ilikuwa ni kutaka kufunika Simba hivyo tembo wakalitia maji 🤣🤣🤣
 
Kwa sasa hatuna uwanja mwingie wenye uwezo wa kubeba mashabiki 60M. Na hii ni sherehe mdogo wangu. In future tutakuwa na viwanja vingi.
Hata huko England only Wembley Stadium Hutumika kwenye big Events.

Tatizo lako wewe ni mshamba
kwahivyo hapo Wembley West ham na Chelsea wanazitumia kama uwanja wa nyumbani???

Hizi vitu mnafanya Wajanja tunaona ni USHAMBA . Wembley kazi yake ni kwaajili ya Finals ilikuleta Neutrality

Sasa huko vumbistan, leo timu ya yanga inafanya Comedy kesho Simba wanakuja kufanya comedy

WTF!!!
 
Back
Top Bottom