Six years ago.
Kijana miaka sita ilopita!?
Usifananishe na sasa Yanga ambayo inamfunga CR belouzdad bingwa wa Algeria goli nne kwa bila.
Ukija unachakaa hata goli hamsini aiseee.
Six years ago.
Ndio namwambia asitegemee tarehe 8 Yanga kucheza na Nzengeli kama beki.
Watu umewapiga Red Card unategemea nini? Kusema possession mbona simba ilikuwa na 76%. Na wala watu hawasemi.Hapa kaka nakupinga,Red arrows hakufungwa kwa figisu.
Kama ulitizama mpira red arrows walizidiwa possession,kipindi cha kwanza tu possession ilikua 61 kwa 39.
Tena Yanga yenyewe ilikua inacheza randomly eti Maxi Nzengeli akicheza wing back.
Denis Nkane akicheza CB.
Penalty ilikua sahihi yule mchezaji kacheza mwili wa kibabage sio mpira,red card nayo sahihi kama uliona hata yule mchezaji wenzake walikua wanamsema kuwa kafanya upumbavu.
Tarehe nane haiko mbali usidhani Nzengeli atacheza wing back kama juzi.
Red card walistahili bro kama kweli wewe mtu wa mpira.Watu umewapiga Red Card unategemea nini? Kusema possession mbona simba ilikuwa na 76%. Na wala watu hawasemi.
Just friendly match 😀 😀 😀 ilinisikitisha jana.Red card walistahili bro kama kweli wewe mtu wa mpira.
Hata wachezaji wenzake walimlaumu yule jamaa na kumsema walimlalamikia kuwa hakustahili kufanya ujinga aliofanya.
Utopolo ni mwendo wa fitna!Watu umewapiga Red Card unategemea nini? Kusema possession mbona simba ilikuwa na 76%. Na wala watu hawasemi.
Kwa kusema kweli mpangilio wa matukio YANGA TULIFELI.Just friendly match 😀 😀 😀 ilinisikitisha jana.
Anyway show ya yanga iliisha zaidi ya saa tano usiku. Hili unaliongeleaje?
Kwa hiyo hadi Makolo tulivyowafunga 5 ni fitina!?Utopolo ni mwendo wa fitna!
Basi red card ifutwe isiwepo kabisa 😂😂😂Watu umewapiga Red Card unategemea nini? Kusema possession mbona simba ilikuwa na 76%. Na wala watu hawasemi.
Kocha wao alisema kabisa ni red card ya uzembe SASA wao wanapinga nn 😂😂😂Red card walistahili bro kama kweli wewe mtu wa mpira.
Hata wachezaji wenzake walimlaumu yule jamaa na kumsema walimlalamikia kuwa hakustahili kufanya ujinga aliofanya.
Friendly match haina maana Kadi zisiwepo unataka watu wavunjane miguu ndio mujue maana ya Sheria za mpira 😂😂😂😂😂Just friendly match 😀 😀 😀 ilinisikitisha jana.
Anyway show ya yanga iliisha zaidi ya saa tano usiku. Hili unaliongeleaje?
Hata wachezaji wenzake walikua wakimgombeza.Kocha wap alisema kabisa ni red card ya uzembe SASA wao wanapinga nn 😂😂😂
Yanga kuna mambo aliyaficha mengi Tu yakimbinu na wamshkuru Sana kipa wao lasivo wangekula goli 8 mpaka 10 😂😂😂Hata wachezaji wenzake walikua wakimgombeza.
Halafu red arrows walikamia ile game.
Hivi tungeingiza kikosi kile cha Kaizer chiefs hao red arrows wangetoka salama!??
As Kenyan police fight rebels in Haiti, Tanzanian police are rapping women in Tanzania.😂😂
View attachment 3062508
Ila doh kipa namsifu,ile michomo yote kaokoa AISEE.Yanga kuna mambo aliyaficha mengi Tu yakimbinu na wamshkuru Sana kipa wao lasivo wangekula goli 8 mpaka 10 😂😂😂
Mkuu msikilize kocha wa red arrows anachoongea,mpira una sheria na kanuni zakeWatu umewapiga Red Card unategemea nini? Kusema possession mbona simba ilikuwa na 76%. Na wala watu hawasemi.