Makalio kweli wewe.Bangladesh generation Z, inspired by kenyans 👇
View: https://twitter.com/btwitsrupi/status/1820380012102451369?t=5IKdsHWM3665lUv70vp1rA&s=19
Hata hio 2021 tulikua na Maandamano. Kilichowatia nguvu Bangladesh ni kuona wakenya wameingia bunge na finace bill kuondolewa. Either way hatuhitaji approval yenu (maiti) 😂Makalio kweli wewe.
Bangladesh kumuondoa Sheikh Hasina walianza kuandamana tokea 2021.
Je ninyi mlianza kuandamana kuanzia 2021!!???
Matunda ya leo ya kumuondoa Hasina yalianza four years back.
Mombasa kuna jamii zao kama tatu zimehamia Tanga.Rudi shule wewe Mombasa na Tanga wapi na wapi mbona unajipa umuhimu. Nishakwambia tafuta hela ujumuike na wenzako wanaouza kahawa mitaani kwetu 😂😂😂
Kwani Mo Dweji ni mtanzania?Kwamba Mo na pesa zake zote, kasoma marekani na ni tajiri no 1 in East Africa awe na ndoto za kuishi mombasa.? 😂😂😂😂😂 wewe ni mpumbavu.
Acha UFALA NA KUJIPA UMUHIMU MSIOSTAHILI.Hata hio 2021 tulikua na Maandamano. Kilichowatia nguvu Bangladesh ni kuona wakenya wameingia bunge na finace bill kuondolewa. Either way hatuhitaji approval yenu (maiti) 😂
Kama neno lenyewe ni kiarabu. Mbona lugha lisiwe la kiarabu?😂😂Unaona ulivyo matako!?
Nazungumzia LUGHA YA KISWAHILI SIO NENO AMA MSAMIATI SWAHILI.
Lugha na msamiati ni kitu sawa!??
Lugha inahusisha muundo wa sauti za nasibu na muundo wa mizizi ya ile lugha na misamiati pia.Kama neno lenyewe ni kiarabu. Mbona lugha lisiwe la kiarabu?😂😂
Wewe unamiliki dreamhouse hapo gongo la mboto unataka ushindane na mkenya anayenunua nyumba ya maana kwenye apartment block?
Jiulize ni Kwa nini apartment blocks with units for sale zinainuka kila kuchao Nairobi wakati Dar ni hadimu
Hao jamaa hawajielewi. Mara utawasikia wanasema oh Kiswahili kilianza Lamu mara oh sijui nini, upuuzi mtupu.😎Nani kakwambia Kiswahili ni kiarabu??
Embu fafanua.
Ni mkenya. 😂😂😂😂Kwani Mo Dweji ni mtanzania?
Usitafute umuhimu, tanga na Mombasa ni mbingu na Ardhi. Mombasa ni kama Nairobi, hakuna jamii inaweza kuclaim ni yao.Mombasa kuna jamii zao kama tatu zimehamia Tanga.
Hivi unajua kuna bus from Tanga to Mombasa!?
Wadigo,washihiri na wagunya ni from Mombasa wakahamia Tanga makalio wewe.
Na wadigo wavivu kinyaksi hadi kero.
Wametuharibia Tanga yetu.
Sawa. 😂😂😂Wewe unamiliki nini? Unalishwa na mwanamke yet you are here opening that your big mouth about umiliki.
Lamu ndio usiombe,kuna umaskini wa kusikitisha aiseeNgoja nikujuze 😂😂😂 mimi babaangu kwao ni Hapo jasini i, tunatenganishwa na jiwe la msingi liloandikwa upande kenya, upande Tanzania.😂😂😂😂 watu wa mombasa ni maskini kupita maelezo.. nawajua.
Kama kuna biashara kenya yenye returns za haraka ni apartments. Hii ni kwasababu ya big middle class. Kampuni zote zinazojenga ni home grown. Affordable housing mukuru slumView attachment 3062285
Sasa kama kaolewa hukoLarger number ya investers ni foreigners na wanunuaji pia ni foreigners. Kwa kifupi with no wazungu settlers in your country then there’s nothing you can compete with us. Facts.
Chooboy ichoboy01 mskilize tajiri wenu Mo Dewji dakika 00:48 anakwambia dadake mkubwa samira anaishi MOMBASA. Yani nikisema ni ndoto yenu kufika huku nimekosea 👇😂😂
View: https://twitter.com/Gaspinho15/status/1820173222211469665?t=D9C28yG2v4SNJHxR_DzeCw&s=19
Nilidhani Kiswahili ni lugha ya Kenya, na asili yake ni huko. Leo mbona imekuwa ya mwarabu tena 🤣🤣🤣Lugha ya mwarabu ni bora kuliko yako? Mbona umekazana na Kiswahili a language of the arabs?
Mbona unaleta ubishani usio na maana kijana!?Usitafute umuhimu, tanga na Mombasa ni mbingu na Ardhi. Mombasa ni kama Nairobi, hakuna jamii inaweza kuclaim ni yao.
Wagunya - Lamu
Wadigo- kwale
Washihiri - kenya coastline