Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
Quarrel iko wapi?😂😂🤣Hiyo number ni ya early phase ya Dar Moro na recent phase Dar Dom combined, huoni kuna data quarrel hapo?
Quarrel iko wapi?😂😂🤣Hiyo number ni ya early phase ya Dar Moro na recent phase Dar Dom combined, huoni kuna data quarrel hapo?
Minara FC 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
Huezinipuuza. Ulianza kusema hivo 2021 lakini spark yangu ni hatari😂😂🤣🤣.Wewe zuzu nakupuuza 😂😂😂😂
X+y=8_____eqn(1)Solve this equation with solution
X + Y = 8
XY = 8
🤣Rais anasema speed bado haijafunguliwa. Ikifunguliwa zaidi masaa mawili Dodoma
XY if y=6.8,x=1.2 --> 8.16X+y=8_____eqn(1)
XY=8_____eqn(2)
Take eqn(1) make X the subject
X+y=8
X=8-y
:X=8-y___eqn(3)
Take eqn(3)into eqn(2)
(8-y)y=8
8y-y^2=8
Change into a quadratic eqn
0=8+y^2-8y
Then,
a=1,b=-8,c=8
By using quadratic formula
y=(-(-8)+_{√(-8×-8)-4×1×8})/2
y=(8+_√{ 64-32})/2
Y=(8+_√32)/2.
Y(8+_√(16×2))/2
Y=(8+_4√2)/2
y=(8+_(4×1.4)/2
y=(4+_(2×1.4)
Y=4+2.8 or 4-2.8.
Y=6.8 or 1.2
For x
From ,x= 8-y
X=8-6.8=1.2 or X=8-1.2=6.8
:;X=1.2 or 6.8
Hitimisho
Kama y=6.8,x=1.2 na kama y=1.2,x=6.8
Ikiwa Pugh station. Two heads still pulling the coaches😂😂🤣👇👇👇onyesha mawili yakivuta mabehewa mpaka Dodoma!
Tuambie port yenu na brt yenu zinamilikiwa na nani?GTC owned by China, KQ Owned by KLM Nothing owned by Kenyans 🤣 🤣 🤣 🤣
Nikuwambie kitu gani mdogo wangu?Tuambie port yenu na brt yenu zinamilikiwa na nani?
TPA tower pia iko half empty.😂😂🤣One wing ni kama haina tenants kabisa. Hata GTC ilikamilika just the other day but look at the occupancy!View attachment 3058678View attachment 3058679View attachment 3058680
Approximate into whole numberXY if y=6.8,x=1.2 --> 8.16
Leta ushahidi kua walijenga wao 😅😅😅BRT mali ya UAE na port of dar slum
mali ya mhindi 😬😬
Two heads zinaonwa na wakenya tu. 🤣 🤣 🤣Ikiwa Pugh station. Two heads still pulling the coaches😂😂🤣👇👇👇
View attachment 3058735
Kwenye Simultaneous hakuna ApproximationApproximate into whole number
8.16#8.00(whole number)
Hata hii SGR wapatie tu miaka miwili Alafu utaona mwarabu ama mhindi akiuziwa🤣🤣😂😂Tuambie port yenu na brt yenu zinamilikiwa na nani?
Ni nini hujaelewa hapo? Tell us who owns your brt and the port of daryNikuwambie kitu gani mdogo wangu?
Jibu ni lipi sasa ?Kwenye Simultaneous hakuna Approximation
Jibu ni lipi sasa ?
Waliuziwa. Saa hii bandariLeta ushahidi kua walijenga wao 😅😅😅