Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiii kitu imeumiza Sana watu😅😅😅😅
Yani MTU anahangaika kuchafua kisafi Tu na hata mwezi hatujafikisha

FB_IMG_1722162921914.jpg
 
Nimeamini wakenya wanaumia sana. Huyu Teargas anawakilisha minds za wakenya wote. 🤣 🤣 🤣
Hakuna mkenya hajaumia na Hasa Tanzania ikifanya Jambo kubwa wao huumia Sana wakidhani Tanzania ni mhasimu wao😅😅😅

Na hakuna Taifa linaiogopa Tanzania kama wakenya, Yani juzi Tu nimetoka Kenya ukiwaskia maneno Yao juu ya Tanzania unagundua waoga Sana hawa jamaa
 
Maandamano yao yalianza baada ya June 14. Tulipozindua Electric SGR yetu. 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom