Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR yenu ingekuwa profitable mchina angeendelea na ujenzi maana anajenga mwenyewe anakusanya nauli mwenyewe sasa kwanini haendelei na ujenzi kama sio kasanuka na huo mradi kuwa ni white elephant?
Lengo ilikuwa Mganda, sasa tulia waanze ujenzi mwisho wa mwaka na sisi tufufue mnyama mpaka malaba. Nakwambia 2M passengers ndio itakua idadi ndogo ya abiria kwa mwezi manake hio corridor haina mwenzake EAC
 
Kila safari moja treni inabeba kuanzia abiria 500 kwenda juu.
Tufanye abiria 500 ambapo kwa kila mmoja angelipa 13000.
13000x500=6,500,000.
Gharama ya umeme haizidi 2milions,tufanye utoe na 1 million ya Korokoro ndogondogo ndani ya treni.
Unabakiwa na shingapi!?
Nani kakwambia garama hazizidi 2M? What about workers? Wanalipwa na nini? What about track maintanance? Inafanywa na nini? Waht about station mauntainance? Inafanywa na nini? What about train maintanance? Hiyo itafanywa na nini? What about all other things related to SGR operation? Zinalipwa na nini? Ama unadhani profit and loss of a train only come from revenue passengers and electricity usage? SGR is not trains alone🤣🤣😂

Wewe jamaa hukuanga fala sana🤣😂😂
 
4 Rubber Tyred Gantry Cranes (RTGs) arrive at Mombasa Port. Port kubwa inayomilikiwa na watanzania ni tanga 😂😂😂
IMG_20240801_180809.jpg
IMG_20240801_180751.jpg
IMG_20240801_180749.jpg
 
Kila safari moja treni inabeba kuanzia abiria 500 kwenda juu.
Tufanye abiria 500 ambapo kwa kila mmoja angelipa 13000.
13000x500=6,500,000.
Gharama ya umeme haizidi 2milions,tufanye utoe na 1 million ya Korokoro ndogondogo ndani ya treni.
Unabakiwa na shingapi!?
Gharama ya umeme Dar Moro ni 625k Dar Dom 1.2m
 
Back
Top Bottom