Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3057196SGR usiku huu imekwama njiani.
Maneno ya shuhuda "Circuit breaker haipeleki umeme"
Niwatakie usiku mwema
ule umeme wake inayou-store incase ya matatizo vp? Mi nadhani Kadogosa inapaswa ajipime alipewa miezi saba na bado pale Dodoma treni inaposimama kuna empty track ukiacha parking lot ya magari hata kuchora mistari hakujafanyika na vivuko (overpasses) za Dar hazijakamilika! Na sasa treni imepata defect siku moja kabla ya uzinduzi! Ni mzembe!

Angalieni watu wanavyo-park! ukimskia anaongea ni viwango tu lakini vitu basics anavi-ignore! kweli ilishindikana kupata mtu wa ku-demarcate parking lots?
GTwnch0WkAE_JGy
 
View attachment 3057196SGR usiku huu imekwama njiani.
Maneno ya shuhuda "Circuit breaker haipeleki umeme"
Niwatakie usiku mwema
Matatizo ya kiufundi ni kawaida tu kwa treni mpya,reli mpya ya umeme. Bado wanasafiri na wale Wakorea na Waturuki kwa kujua kuwa haya yanaweza kutokea.
Kuna kitu nili note wakati naenda Dodoma,kila treni ikifika kwenye power substation inakata moto ikipita inawaka tena inaendelea,safari nzima ilikuwa hivi. Lakini from Dom to Dar hii kitu haikutokea sijui nini ilikuw sababu.
NB:Ikikata moto haisimami inasinzia tu halafu inaendelea.
 
Treni za umeme hata za ulaya huwa zinafanya hivyo zinapopita kwenye neutral zones ambapo source ya supply ya umeme inapobadilika.
 
Back
Top Bottom