ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kuna mambo mawili yawezekana wanafanya majaribio au hujuma zimeanza bado mapema Sana na safari hii tusipokua makini hujuma zitakua nyingi Sana kwasababu tunaleana watoto WA mjomba na shangazi 😂😂😂😂😂Matatizo ya kiufundi ni kawaida tu kwa treni mpya,reli mpya ya umeme. Bado wanasafiri na wale Wakorea na Waturuki kwa kujua kuwa haya yanaweza kutokea.
Kuna kitu nili note wakati naenda Dodoma,kila treni ikifika kwenye power substation inakata moto ikipita inawaka tena inaendelea,safari nzima ilikuwa hivi. Lakini from Dom to Dar hii kitu haikutokea sijui nini ilikuw sababu.
NB:Ikikata moto haisimami inasinzia tu halafu inaendelea.
Yani treni ya mzigo imeanguka naona mtoto WA mjomba amekalia kiti cha uwaziri anazungumza hehehe🙌🙌🙌