Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo jamaa I have already ignored him.
Tupende kusifia lakini tupende pia kukosoa mzee, hatuwez kuona ujinga alaf tukaendelea kusifia, na nashangaa bado Una like comments zangu 😂😂😂😂😂😂

Haya yanayowakuta wenzetu wakenya ndio haya ambayo tunayafanya SASA hvi kwa kusifiana, hata wao walikua wakisifiana wanaficha maradhi na haya ndio matokea yake sasa tunaona
 
Akikosolewa Magufuli ni sumu ila akikosolewa Samia ni Haki 😂😂😂😂😂👇👇

View: https://twitter.com/DrCyrilo/status/1817176934696067085?t=XcAjpHdcgXDBnmzArkii2Q&s=19

Mama anaupiga mwingi Hadi unamwagika 👇👇

View: https://twitter.com/Halima_nyab/status/1817821377543405971?t=jz3QT29JPaNZdOAlrIeapw&s=19
 
kwa nini? sijaona tatizo bado hapo, kwanza hiyo ni station kuu au station ndogo? halafu kwani kuna shida gani abiria kupandia platform yoyote na kutembea ndani ya treni kwenda kwenye behewa walipendalo? isitoshe treni inaweza kupunguzwa au kuongezwa mabehewa kulingana na demand, binafsi sijaona bado huo “upumbavu” wa mainjinia wetu hapo …
Kutembea ndani ya treni wakati wa kupanda 🐸🙄🙄🙄 wewe unadhani kwa nini kila behewa kuna mlango ni kupunguza usumbufu wa kupishana kwenye korido ndogo za treni tena ukumbuke watu wanakuwa na mizigo sasa upande behewa la kwanza na mabegi kisha utembee hadi la 24 ......kweli upumbavu ni kipaji🐸🐸🐸🐸
 
Tupende kusifia lakini tupende pia kukosoa mzee, hatuwez kuona ujinga alaf tukaendelea kusifia, na nashangaa bado Una like comments zangu 😂😂😂😂😂😂

Haya yanayowakuta wenzetu wakenya ndio haya ambayo tunayafanya SASA hvi kwa kusifiana, hata wao walikua wakisifiana wanaficha maradhi na haya ndio matokea yake sasa tunaona
Kweli. Tusifie panapostahili kusifiwa na tukosoe panapostahili kukosoa. The guys is Chawa hana cha maana chochote ni upuuzi tu.
 
Back
Top Bottom