mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 4,812
- 5,263
4 total participants at the Olympics….. a real sporting nation you are!… psych!…an embarrassment for such a huge country… Just Lazy …😂🤣
Watu ni wajinga huwezi amini hapa ubishi ni juu ya urefu wa baraza na kunyeshewa mvua na si technology ya engines zinazotumika! Wanaopenda jua tunawa-accomodate vp?SGR station Dar imejengwa upande mmoja,upande wa nje. Bado kuna nafasi ya kujenga jengo lingine upande wa ndani kama litahitajika. Hizo canopy ni vitu vidogo sana vinaweza kujengwa hata ndani ya wiki moja.
Wewe huna upeo wa kujua hivi vitu!Wewe una angalia jua tu je mvua na mizigo unayo beba mbona BRT STEND NI NDEFU SANA SI ILITAKIWA ZA TRENI ZIWE MARA 4 YA BRT
Kaka hizo mvua zenyewe Dodoma ziko wapi? Mbona mnapenda kukuza mambo?Upo ila vurugu zake siyo za kitoto hadi vibaka watakuja kuondoka na mabegi ya watu ni swala la muda tu
Hatujasema sisi ni sporting nation usitulishe maneno, tumesema sisi ni footballing nation, jana Yanga imeshinda 4-0 dhidi ya timu kubwa SA, timu gn ya hapa EA inaweza kualikwa South Africa 🇹🇿 🇹🇿 🔥 🔥 🔥4 total participants at the Olympics….. a real sporting nation you are!… psych!…an embarrassment for such a huge country… Just Lazy …😂🤣
Hii habari ya canopy sijui shade mbona vitu vidogo sana.Kaka hizo mvua zenyewe Dodoma ziko wapi? Mbona mnapenda kukuza mambo?
Ndio maana Yanga wamekataa 😂
Naona anasema habari za vibaka, Hivi ana habari ukaguzi wa pale ni kama airport!Kaka hizo mvua zenyewe Dodoma ziko wapi? Mbona mnapenda kukuza mambo?