Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Soma vizuri hiyo taarifa nzima.
Kama revenue zinaongezeka hadi sasa hivi kwanini mapato ya kodi yanatumika kuendesha hiyo reli!??
Because expense increased more than the rate revenue increased. AMA hiyo pia huelewi?🤣🤣
 
Kundustan 😀 😀 😀 😀 😀
Mnavyomuona Teargas AKA NairobiWalker (KiberaWalker) ndio behaviors za wakenya 98%

Hawataki kabisa kukubaliana na uhalisia. Kilichobaki ni kuwahurumia tu
Mtu treni imepunguza mabehewa kwa kupungukiwa na wateja halafu wanakwambia mapato yanaongezeka,licha ya kusema mapato yanaongezeka wanasema reli inaendeshwa na pesa za mapato ya kodi😭😭😭🍆🍆🍑🍑🍑Embu tizama watu wanavyojitia ududu.
 
Kachukue ratiba ya safari za treni Dar-Moro,Dar-Moro-Dodoma.
Utajua treni moja inapiga route ngapi kulingana na ratiba iliyowekwa ya safari.
Are you really learned? Do you know what routes are? AMA unaongelea trips?🤣🤣🤣
 

Yaani mnatupigia kelele mambo ya ajabu sana. Huku mkoa wa Tabora nchini Tanzania ni 76,151 km² Huu ni upumbavu

1722192708463.png
 
Are you really learned? Do you know what routes are? AMA unaongelea trips?🤣🤣🤣
We ni kima uliyelewa mnazi nini!?
Nani asiyefahamu maana ya route!?
🍑🍑🍆🍆😭😭😭😂😂Kuna treni inayopiga route ama safari ya Dar mpaka Morogoro.
Na kuna treni inayopiga safari ya Dar mpaka Dodoma.
Na hapo kuna ordinary na Express.
Wewe huelewi kipi hapo!?
Katizame ratiba kesha upige mahesabu.
 
😭😭🍑🍑🍆🍆Yani expenses ziongezeke ilhali mmepunguza mabehewa kwa kupungua kwa abiria!??
Hizo expenses za nini!?
Ndio maana tukisema mnapika data mnakataa.
Your education is wanting. This screenshot wewe ndio ulipost hapa and from it I can clearly see increase in revenue 😂😂👇👇

1722193170874.jpeg
IMG_0429.jpeg
 
Your education is wanting. This screenshot wewe ndio ulipost hapa and from it I can clearly see increase in revenue 😂😂👇👇

View attachment 3055455View attachment 3055457
Nimesoma kote ndio maana nikasema MKIAMBIWA MNAPIKA DATA MSIKATAE.
Kama revenue zinaongezeka kweli zinaongezeka je ilhali mmepunguza idadi ya mabehewa kwa kupungua kwa abiria!?
Pia kwanini mtumie mapato ya kodi kuendesha reli!?
Mimi sio mtu wa kukamata tu taarifa na kukariri bali huichambua kwanza taarifa.
 
Back
Top Bottom