Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kutembea ndani ya treni wakati wa kupanda 🐸🙄🙄🙄 wewe unadhani kwa nini kila behewa kuna mlango ni kupunguza usumbufu wa kupishana kwenye korido ndogo za treni tena ukumbuke watu wanakuwa na mizigo sasa upande behewa la kwanza na mabegi kisha utembee hadi la 24 ......kweli upumbavu ni kipaji🐸🐸🐸🐸

hilo la behewa la 1 hadi 24 umeongeza chumvi, sidhani kama hiyo platform ni ndogo hivyo kiasi cha kukava behewa moja tu, nilichotaka kusema ni kwamba wewe labda kama mimi pia hauna facts zote hivyo siyo sawa kuhukumu watu waliofanya kazi kubwa na kuwaita “wapumbavu” kwa sababu tu matokeo ya kazi yao hayajakuridhisha, wamefanya kazi kubwa hata mpaka leo hii teni inatembea na inabeba watu, ina mapungufu? ofcourse ni kawaida, unajua waliotaka launch space vehicle into space ili fail mara ngapi mpaka kuja hata ku take off sucessful? tuwape muda kwanza nafikiri bado hata wako kwenye majaribio …
 
Kuna vitu si vya muhimu kama kuwa na ma-canopy marefuuu juu ya platform.. ikumbukwe kuna wanaopenda pia kuota jua na kupata vitamin D tembeleeni stesheni za nchi zilizoendelea mtaona! Hivyo ni vitu Mchina alimpumbaza Mkunya!
 
Wewe una angalia jua tu je mvua na mizigo unayo beba mbona BRT STEND NI NDEFU SANA SI ILITAKIWA ZA TRENI ZIWE MARA 4 YA BRT
 
hilo la behewa la 1 hadi 24 umeongeza chumvi, sidhani kama hiyo platform ni ndogo hivyo kiasi cha kukava behewa moja tu, nilichotaka kusema ni kwamba wewe labda kama mimi pia hauna facts zote hivyo siyo sawa kuhukumu watu waliofanya kazi kubwa na kuwaita “wapumbavu” kwa sababu tu matokeo ya kazi yao hayajakuridhisha, wamefanya kazi kubwa hata mpaka leo hii teni inatembea na inabeba watu, ina mapungufu? ofcourse ni kawaida, unajua waliotaka launch space vehicle into space ili fail mara ngapi mpaka kuja hata ku take off sucessful? tuwape muda kwanza nafikiri bado hata wako kwenye majaribio …
Ya dodoma ina cover mabehewa kama 4 au 5 tu na hiyo treni inaweza kuchukua mabehewa mengi sana ilitakiwa hiyo platform iwe 1km si vinginevyo ....pia yakenya imejengwa kisasa hata sakafu tofauti na yetu sehemu ya kupandia sakafu ni mbaya huo ndiyo ukweli ...pesa zilitosha kufanya hayo yote vizuri kabisa
 
Akikosolewa Magufuli ni sumu ila akikosolewa Samia ni Haki 😂😂😂😂😂👇👇

View: https://twitter.com/DrCyrilo/status/1817176934696067085?t=XcAjpHdcgXDBnmzArkii2Q&s=19

Mama anaupiga mwingi Hadi unamwagika 👇👇

View: https://twitter.com/Halima_nyab/status/1817821377543405971?t=jz3QT29JPaNZdOAlrIeapw&s=19

Tutaongea ukweli kama kuna makosa tutasema na kama kuna mema tutasema pia, lakini hatuwez kua ni WAtu wakusifiankila kitu bila kukosoa 😂😂😂😂

Hawa wakenya unawaona Leo wanachapana ni kwasababu wakisifiana Sana wakadanganyana Sana, wanaficha maradhi SASA umauti ndio unawaumbua, so na Sisi tusifike hio stage ya kusifiana Sana tukaficha maradhi 😂😂😂😂😂

Yangu ni hayo mtoto WA mama
 
Hivi hakuna uwezekano wa kupita ndani ya treni na kutokea behewa jingine? Nauliza tu kujua
Upo ila vurugu zake siyo za kitoto hadi vibaka watakuja kuondoka na mabegi ya watu ni swala la muda tu
 
Back
Top Bottom