Sasa unataka tufanye kila mnavyofanya ninyi!?Kwa hii imejengwaje?🤣🤣😂😂
All the 15 coaches have been covered by shade hadi space ikabaki.
View attachment 3052951
Kwa hiyo kila mkifanyacho ninyi basi ni lazima kifanyike!?
Sasa unataka tufanye kila mnavyofanya ninyi!?Kwa hii imejengwaje?🤣🤣😂😂
All the 15 coaches have been covered by shade hadi space ikabaki.
View attachment 3052951
So unatuekea picha ya train ikitoka? Mbona hueki picha ya train ikisimama?😂😂🤣.sasa kweli kabisa unataka tuweke mambathi sturucture kama hii? Ya nn haswa?
Nchi zilizoendelea...
![]()
Everywhere is like that except Tanzania😂🤣Sasa unataka tufanye kila mnavyofanya ninyi!?
Kwa hiyo kila mkifanyacho ninyi basi ni lazima kifanyike!?
Hii ya kugeukiana ulishaisort? 😂😂😂Hii ni port malaya hii😂😂🤣🤣.
Usilazimishe tufanane. Kenya wasafiri hawanyeshewi kama huko kwenu🤣🤣😂👇👇
View attachment 3052971
Vs
View attachment 3052972
Hakuna kuangaliana in Kenyan trains. Nyinyi endeleeni kuangaliana kama mbuzi😂😂🤣🤣👇👇
Hapo kuna kosa la kipumbavu kwa mainjinia wetu tz very nonsenseAccording to Mzee Methuselah aka Geza Ulole uloe ati hii train ni over 1km and that’s why Tanzania can’t afford a canopy that can cover the entire train😂😂🤣👇👇
View attachment 3052998
Vs
Kenya with a canopy that covers 16 coaches.
View attachment 3052999
Kwenye kuangaliana ni muhimu mahesabu ya kompyuta yatumike kutambua family team au friends team ni vizuri familia kuangaliana au team moja ya kusafiri kuna 4 sit na 6 sit kutazamana kama baba na mama wana watoto 2 wanachukua sit za kutazamana 4 au kama wapo 6 wanachukua sit za kutazamana 6Hakuna kuangaliana in Kenyan trains. Nyinyi endeleeni kuangaliana kama mbuzi😂😂🤣🤣👇👇
View attachment 3053014
Nachotaka ni Kimoja tuu,Mtumba Government City, mengine yoote iteni kuanzia Sgr,Marais,sijui viwanja na hata Wilaya ya ChatoUnachokitaka ww hakiwezekani nimekwambia magufuli angekua ana roho ya tamaa basi kila kitu SASA hvi kingekua kwa jina lake
Hapo kuna kosa la kipumbavu kwa mainjinia wetu tz very nonsense
Kenya. Passengers are protected from adverse weather conditions unlike in Unchawiland.
View attachment 3052955
Vs
Uchawiland. Hapa ni kunyeshewa proper🤣🤣👇👇👇
View attachment 3052958
Nachotaka ni Kimoja tuu,Mtumba Government City, mengine yoote iteni kuanzia Sgr,Marais,sijui viwanja na hata Wilaya ya Chato
Unaweka kanopi ya mabehewa 13 halafu unakuja kuongeza mabehewa yanafika 20! 😂😂😂kwa nini? sijaona tatizo bado hapo, kwanza hiyo ni station kuu au station ndogo? halafu kwani kuna shida gani abiria kupandia platform yoyote na kutembea ndani ya treni kwenda kwenye behewa walipendalo? isitoshe treni inaweza kupunguzwa au kuongezwa mabehewa kulingana na demand, binafsi sijaona bado huo “upumbavu” wa mainjinia wetu hapo …
So Dodoma ni mji mdogo ambapo treni express haitasimama? 🤣🤣.hivyo ni vitu trivial, siyo kila station lazima iwe kuubwa, kuna vistation vya miji midogo ambapo hata treni express haitosimama, hivyo kwangu hiyo siyo big deal …