Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thanks for this picture. Hii pekee (Circled in green)ndio scanner hizo zingine ni za kuonyesha ticket na kufungiliwa manualy🤣🤣🤣👇👇👇👇 Alafu Mbona floor imeparara?🤣🤣🤣
View attachment 3055084
Una kichwa kibovu watu wa arrivals hawa-scan maana at the point of departure n in the train wamekuwa scanned n controlled!
 
Kenyan SGR yearly pax year 2024 is 531,670 pax only.
Thanks for Quoting 3 months figures from January to February 😂😂🤣🤣.

531,670 divide by 90 days = 5,908 passengers per day🤣🤣😂😂
 
Tanzanian SGR Dar Morogoro route alone yearly pax 4000 psgrs/day × 30 x 12= 1,440,000 pax Pa.
Kenyan SGR yearly pax year 2024 is 531,670 pax only.
No wonder kijana ulikuwa unapinga passengers numbers per day Dar Moro. Sasa nadhani hesabu umeona hapo juu na numbers itaongezeka tukiweka na route ya Dar Dom.
The rest piga hesabu wewe utuambie train ipi itabeba abiria wengi 😁
Kutoka January mpaka march ndio unaita yearly. In three months 531,670 passengers.
 
Una kichwa kibovu watu wa arrivals hawa-scan maana at the point of departure n in the train wamekuwa scanned n controlled!
Mzee uko hapa na wajukuu wako wanakungoja uwapigie stories za wakati wako kwa akina Kinjeketile Ngwale🤣🤣😂😂
 
Chuma inatembea na 160kph huku iko fully loaded 😁
 
Ya Kenya unaweza ukasema viwanda vya kurutubisha uranium kuzalisha nuclear weapons😭😭😭😭.
Au kama zile quarter za corona virus za China.
That’s the biggest trains Station in East Africa🤣🤣😂😂
 
Chuma inatembea na 160kph huku iko fully loaded 😁
Rudi hapa 👇😂😂
Tanzanian SGR Dar Morogoro route alone yearly pax 4000 psgrs/day × 30 x 12= 1,440,000 pax Pa.
Kenyan SGR yearly pax year 2024 is 531,670 pax only.
No wonder kijana ulikuwa unapinga passengers numbers per day Dar Moro. Sasa nadhani hesabu umeona hapo juu na numbers itaongezeka tukiweka na route ya Dar Dom.
The rest piga hesabu wewe utuambie train ipi itabeba abiria wengi 😁
 
Mambo live bila filters.
IMG_20240728_232601.JPG

IMG_0405.jpeg
 
Back
Top Bottom