Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Huyo mzee angekua na tamaa basi miradi yote unayoiona SASA hvi ingeitwa magufuli

Yani hata mufanye nn haiwezi badilisha akili ya watanzania, pole kama nimekukwaza
Kama hana tamaa mbona alikubali hizo sehemu kuitwa jina lake tena akiwa madarakani? Mbona asisubiri ang’atuke ndo paitwe jina lake kama wenzie?
 
Waongeze madirisha ya kukata ticket zifike hata 10 au 15 au wajenge jengo separate nje kwa ajili ya kukata ticket na Ku print ticket ili kuondoa foleni kabisa
Haikutegemewa kuzidi matarajio ndio huku. Anyway si lazima madirisha ni kupigia kampeni app za tiketi kama wanavyofanya watu wa Mikopo, SMS bulk.

Kupitia mitandao ya kijamii kuwe na automatic machine ya risiti getini unascan. Ukiingia tiketi inakua imetumika.

Kingine walinde seats za mtu akikata online hata kama hajafika fresh tu. Ili kuleta uaminifu wa kukata online. Madirisha yatakua yanatosha.

Kingine waongeze wafanyakazi wa kuongoza na watu wawe na adabu ya kusogea dirishani why wasiweke zile kingo kama za Bank?

Tatizo litaisha automatically.
 
Kipanya ana maanisha nini
1722004457404.jpg
 
Hata afcon timu zitajionea utofauti mkubwa sn, watu watakuwa na choices nyingi, huku BRT kule electric train pale kuna boats za kwenda Zanzibar au achukue mwewe, chaguo ni lake.
Mtu anashuka JNIA anachukua BRT yake mpaka posta ndani ya mda mfupi kafika anapumzika kesho anacheki game jioni anachukua electric train huyooo dodoma, mechi ikiisha anaenda hoteli kali kesho anaenda Msalato Airport (the biggest and most modern airport in the region) anachukua mwemwe mpaka Arusha anacheki game nyingine, baadae anakwea pipa mpaka KIA anaenda zake kufanya utalii akimaliza tour yake atachagua aondokee KIA, JNIA au Msalato au Zanzibar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Jamaa zetu hapo kwa mama Ngina kukitokea tu visibility problem wanaenda kutua Burundi 😂😂😂
 
Kuna mbwa huku anasema kuhusu Magufuli city.

Anzisha na nyie mziite zenu?

SERIKALI GANI YA KIWAKI INAANZA NA KUWAPA WATU BANDARI, BRT alafu itegemee tuipe Legacy?

Ivi nyie mna uwezo wa kuwadindia watu wa Gas, Madini, Port, etc hadi mnufaike?

Ikiwa tu wafanyabiashara wadogo wadogo wanawatia jambajamba
 
Haikutegemewa kuzidi matarajio ndio huku. Anyway si lazima madirisha ni kupigia kampeni app za tiketi kama wanavyofanya watu wa Mikopo, SMS bulk.

Kupitia mitandao ya kijamii kuwe na automatic machine ya risiti getini unascan. Ukiingia tiketi inakua imetumika.

Kingine walinde seats za mtu akikata online hata kama hajafika fresh tu. Ili kuleta uaminifu wa kukata online. Madirisha yatakua yanatosha.

Kingine waongeze wafanyakazi wa kuongoza na watu wawe na adabu ya kusogea dirishani why wasiweke zile kingo kama za Bank?

Tatizo litaisha automatically.
Still madirisha matano hayatoshi bro alaf sio wote wanaweza kukata through app hatujafika level hzo bado, muhimu madirisha ya kukaa ticket yafike hata 15 kuondoa foleni na itapendeza zaidi wakujenga jengo jingine pembeni iwe maalum kwa ajili ya ticketing and printing
 
Back
Top Bottom