Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

KQ diverts some flights from JKIA to Tanzania due to poor visibility​

Thursday, July 25, 2024
kenya-airway-pic.jpg


By The Citizen Reporter
Media/news company
Mwananchi Communications Limited

What you need to know:​

  • In a statement, KQ notified passengers of potential delays in arrivals and departures in Nairobi while emphasizing their commitment to passenger safety and comfort.



MY TAKE
Kuna Mbwa anabisha Kenya is a country of only one international airport? Nchi ya kinyoko sana!

NairobiWalker Teargas
 
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
mmmmmh
 
kwasababu wanatambua haki zao kama wananchi kuliko nyie mnaoogopa kufight haki zenu kwasababu ya uongozi wa kimabavu
Una fight haki ya kusema ruto must go na bado Yuko kwenye kiti kile kile na anateua mawaziri wale wale, so ni haki gani mumepata hapo zaidi ya kuchoma Mali za watu hawana hatia??😅😅😅
 
Back
Top Bottom