Mwenda zake alikua ni kiongozi imara.Wanajaribu kuharibu uhalisia lkn hawatoweza, kabla ya Magufuli tulikuwa nchi ya kipuuzi sana ambayo ina maliasili nyingi lkn infrastructures za kizee ambazo hata failed state kama kenya tulikuwa hatuwezi kubishana nayo, Magufuli kaibadilisha sn hii nchi na ndiyo unaona hii miradi yote tunayoringa nayo humu na kuwabeza wakenya kitu ambacho tusingethubutu hata chembe.
Hao marais wengine sio kwamba hawakufanya kazi lkn ni kazi ambazo hata mm ningefanya, hii miradi aliyoanzisha Magufuli ndiyo hii inawasumbua kuimalizia, je wangeweza kuianzisha? Kichaa mwingine eti hataki jina liitwe Magufuli wakati kabla ya Magufuli kulikuwa ni pori tu kwnn tusimuenzi jasiri kwa kuita mji jina lake, achana nao vichaa hao wanaolipwa kuharibu legacy na hawatoweza kamwe.
Licha ya madhaifu yake yootee na vurugu zake zootee ila hii nchi kaipigisha hatua kuliko awamu yeyote ile.