Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya kumekucha Azam TV alooo 🙌🙌😔
Haya wacha tunyamaze tuendelee kusifia
Screenshot_20240724-122907.png
 
Haya kumekucha Azam TV alooo 🙌🙌😔
Haya wacha tunyamaze tuendelee kusifia
View attachment 3050732
Wamezindua channel mpya iitwayo AZAM SPORTS 4HD, wataanza kuonesha ligi ya Serie-A, Laliga pamoja na kuendelea kuonesha Ligi kuu na ligi ya Germany 'Bundesliga'
Na wamenunua vifaa vipya vya kisasa, sasa ndugu bila kuongeza bei ya vifurushi unadhani hela ya mwezekaji itarudi vipi!
Ama unafikiri hizo league wanazipata FTA! 😂😂😂
 
Kama kaongeza channel aweke kwenye bundle za kuchagua kama anavofanya mbona vifurushi vingine ni vya kuchagua kulingana na uwezo MTU alionao, kununua vifaa havihuasiani na kupandisha bei, yeye kaona kua hakuna mtanzania anataka kuangalia league ya Italy so analazmisha tulipie kwa lazima that's all

Maisha ni magumu Sana mzee mm na ww tutakua na uwezo huo na wengine tunawafikiriaje au wanasaidika VP kila kitu bei iko juu tozo kila Kona, petrol na diesel hazishkiki, Kodi ya majengo imepanda, vocha ya buku dukani inauzwa 1100

Haya wacha tuendelee kucheka nakufurahi ila time will tell, tuendelee kusifia 🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom