ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Lkn KQ kwa sasa haitui hapo inalazimika kuja Tanzania ikatue JNIA au KIA au kule Mwanza na soon Msalato Dodoma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mombasa the second East Africa aviation hub. View attachment 3051820
Yani Kenya vitu vitatu hua haviachani maisha
Corruption, unemployment and debt 😂😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1816707558003851611?t=eYFNWV3AUPVm5lIB1w_B7g&s=19
Unaongea hivyo wewe kama Nani? Kwani jina likiwa hivyo Kuna shida gani? Ndio jina linalofahamika na kizuri hakulibadilisha yeye. Chuki yako won't erase his legacy and dedication.Si sawa kubadilisha jina la sehemu! Hapo panaitwa Mtumba japokuwa ujenzi alianzisha Magufuli na hilo jina halitadumu!
Umewacheza bongolala bro.🤣🤣🤣Nilikuwa nawachora tu! KQ imebeba 5million passengers last year hakuna catching up yeyote mnaweza fanya. Competition ya atcl ni Precision Air. KQ ikipata investor mkubwa hata Ethiopian airline haifikiView attachment 3051923
Evidence geuza, evidence.🤣🤣🤣Last year 2023 ATCL carried over 1.2 mln PAX! And if it were not for engine problems AIR TANZANIA would have expanded to more networks!
Naunga mkono hoja.Kama wanataka wangeita structures mbalimbali Magufuli ila hili jina la Mji wa Serikali lingesalie mtumba government city.Si sawa kubadilisha jina la sehemu! Hapo panaitwa Mtumba japokuwa ujenzi alianzisha Magufuli na hilo jina halitadumu!
Bora upewe msaada kwa kuonewa huruma ila hawa specifically wameomba chakula waziwazi soma hiyo taarifa vizuri🤣🤣🤣Usa ya africa inapewa msaada wa chakula karne ya 21 hii,yan hata djibout sidhani kama wanatia aibu bara la afrika kama hawa nyang'au, shame on nyang'au
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Naunga mkono hoja.Kama wanataka wangeita structures mbalimbali Magufuli ila hili jina la Mji wa Serikali lingesalie mtumba government city.
Kunyan ni maskini wa kutupwaBora upewe msaada kwa kuonewa huruma ila hawa specifically wameomba chakula waziwazi soma hiyo taarifa vizuri🤣🤣🤣
Wanajaribu kuharibu uhalisia lkn hawatoweza, kabla ya Magufuli tulikuwa nchi ya kipuuzi sana ambayo ina maliasili nyingi lkn infrastructures za kizee ambazo hata failed state kama kenya tulikuwa hatuwezi kubishana nayo, Magufuli kaibadilisha sn hii nchi na ndiyo unaona hii miradi yote tunayoringa nayo humu na kuwabeza wakenya kitu ambacho tusingethubutu hata chembe.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo mzee angekua na tamaa basi miradi yote unayoiona SASA hvi ingeitwa magufuli
Yani hata mufanye nn haiwezi badilisha akili ya watanzania, pole kama nimekukwaza