Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,919
- 103,791
Tushatoka kwenye comparison za kitoto kama hizi na za kizamani, Dar ina infrastructures za kisasa zaidi ya Nairobi kama unabisha tuanze sasa, hakuna kitu kipo Nairobi na hakipo Dar lkn kuna vitu vingi vipo Dar huwezi kuvipata East and central Africa.
Ushawahi kuona vitu kama hivyo tangu uzaliwe? Na kama umewahi kuviona ni wapi huko niambie, mana ulaya haujawahi kwenda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna cha maana hapa.
Punguza mihasiraa itakuua wacha wivu enda Lilia mama ngina huko..Hakuna cha maana hapa.
ichoboy01 Kosugi et all yaani mlitaka Kila kitu hata hii Airport iiteni jina la Magufuli ila Mtumba Government City ibakie na jina lake 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/Dodoma_Zone_/status/1816781418212553101?t=Q-LNSEICL9oikIaTsp99XA&s=19
ichoboy01 Kosugi et all yaani mlitaka Kila kitu hata hii Airport iiteni jina la Magufuli ila Mtumba Government City ibakie na jina lake 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/Dodoma_Zone_/status/1816781418212553101?t=Q-LNSEICL9oikIaTsp99XA&s=19
Nasubiri abishe. 😂😂😂Mbona una akili ndogo sana? Unaweza kuingia coach number 5 ukatokea coach number 1 au 13 inside walking through other coaches 😂😂😂
Kwani wewe unaona kaijenga nani? Haina jina lake?Sasa hiyo Government City kaijenga nani? Mbn hamkuwa mkiita government City before kujengwa na Magufuli, acheni mzaha. Hilo jina la mtumba kaiteni vijiji vyenu, hiyo Government City inaitwa Magufuli city mtake ndio hivyo msitake ndio hivyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ni yeye mwenyewe so jina linatakiws libadilishwe.Kwani aliyesema mji uitwe Jina la Mwendazake ni nani!?
Yani mji kuitwa Jina la muasisi imekua nongwa!?
Mbona ninyi mama yenu mnavyomsifilia kila jambo sisi hatubezi!?
Sasa kabadilishe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kwani wewe unaona kaijenga nani? Haina jina lake?
Ikiwezekana Chato yote iitwe Kwa jina la Magufuli ila Mji wa Serikali Mtumba usalie vile vile na jina lake la Asili.
Kachikichia to nowhere anapika utumbo mwingine wa comeback 😂😂😂Nasubiri abishe. 😂😂😂
Aloo sio poa wazee 🇹🇿🇹🇿🔥🔥👉🇰🇪👉💩💩💩🗑️🗑️🚮🚮🚮
ichoboy01 Kosugi et all yaani mlitaka Kila kitu hata hii Airport iiteni jina la Magufuli ila Mtumba Government City ibakie na jina lake 😂😂👇👇
View: https://twitter.com/Dodoma_Zone_/status/1816781418212553101?t=Q-LNSEICL9oikIaTsp99XA&s=19
Hizo ni options nyingi sana which is good ila kwa jirani all roads lead to JKIA huko kwingine kote hamna maisha halafu umene sasa watakuwa nao stable au ndio watatutia aibu za rejareja?Hata afcon timu zitajionea utofauti mkubwa sn, watu watakuwa na choices nyingi, huku BRT kule electric train pale kuna boats za kwenda Zanzibar au achukue mwewe, chaguo ni lake.
Mtu anashuka JNIA anachukua BRT yake mpaka posta ndani ya mda mfupi kafika anapumzika kesho anacheki game jioni anachukua electric train huyooo dodoma, mechi ikiisha anaenda hoteli kali kesho anaenda Msalato Airport (the biggest and most modern airport in the region) anachukua mwemwe mpaka Arusha anacheki game nyingine, baadae anakwea pipa mpaka KIA anaenda zake kufanya utalii akimaliza tour yake atachagua aondokee KIA, JNIA au Msalato au Zanzibar 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Basi jamani mbona issue ndogo hii.Sasa hiyo Government City kaijenga nani? Mbn hamkuwa mkiita government City before kujengwa na Magufuli, acheni mzaha. Hilo jina la mtumba kaiteni vijiji vyenu, hiyo Government City inaitwa Magufuli city mtake ndio hivyo msitake ndio hivyo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣