mike2k
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 1,601
- 3,545
Ujawahi fika
Ujawahi fika Nairobi, ukifik ando utapaheshimu.Upuuzi mtupu.
Ujawahi fika Nairobi, ukifik ando utapaheshimu.Upuuzi mtupu.
Nipaheshimu? Ha ha ha upuuzi mtupu😎😎😎Ujawahi fika
Ujawahi fika Nairobi, ukifik ando utapaheshimu.
Tatizo letu watu meaning raia wanajenga nje kabisa ya mji kabla ya huduma kufika ndio unakuta kuna shule ndogo kuliko idadi ya watu. Rarely huwa inatokea na immediately huwa sorted ikionekana inatrend! Zimamoto culture.Alafu mnasema sisi ni wafungwa wa akili. No Kenyan can celebrate this bullshit in 2024.
PS......huwa naona mkipost humu shule za huko West Pokot kwa cattle rustlers wanafunzi wakiwa chini ya mti kumbe kwenu hayo yanafanyika mjini tena Darasarama?😂
😂😂😂😂 this is Africa
View: https://x.com/WangaiMaina254/status/1814812593673916749?t=OxQV53ZXjFY7mobuma9GsQ&s=19
View: https://x.com/jessykigen/status/1814764035323122039?t=xgtscejE86ZsB3t6C2ELTA&s=19
View: https://x.com/KultureKenya/status/1814776586115113453?t=dtOyfEzVyyAXQXLSiPVUFA&s=19
View: https://x.com/KusienyaKelvin/status/1814869331550814704?t=Kp-uASK8uOsnRfaVZdZkMw&s=19
View: https://x.com/DrFrankWafula/status/1814884452025196815?t=ejsbM5jVXyTaFzms6V_l2A&s=19
View: https://x.com/PeterKamondeN/status/1814891180200439953?t=lv11cKTN2Gwrviq8mJgvQw&s=19
Hapana kaka sio suala la kusifia hata kidogo bado tuna shida nyingi Sana za kutatua kwenye nchi hii, tunaingia kwenye mkenge WA debt burden kwa kusifiana tuGDP inaruhusu haijajinyea bado 😁
Huu mzigo umewasili behewa kana nne or tano tu toka Germany, hizi ni IC trains wewe kima. ziko locomotives and coaches zaidi ya 26 zinafanyiwa finishing huko Germany.
View attachment 3046766
View attachment 3046765
View attachment 3046764
Hapana kaka sio suala la kusifia hata kidogo bado tuna shida nyingi Sana za kutatua kwenye nchi hii, tunaingia kwenye mkenge WA debt burden kwa kusifiana tu
Hii ndio answer? Kumbe wewe ni fala tu kama watanzania wengine.Advanced mathematics hiyo sio size yako.
That audacity to call Kunyaland "guuud kanteriiii" though 😁😁
View: https://x.com/SelbyNhleko/status/1814747266562830358?t=z487RJMSzJcQfPm-wNSnWg&s=19
Mwacheni ruto awanyooshe hawa punda😅Mwenyekiti naomba utoe tangazo kila mtanzania anapo andika ujumbe au kuweka picha amalizie na hashtag #RUTOMUSTGO
Dharau iko wapi hapo? Heal from inferiority complexHalafu hao #RUTOMUSTGO wanadhalau dini za watu ndio maana mnapata laana nyie sio bure heshimu din ya mtu hata kama huipendi
😁😁😁 Wakati wao Pamoja na hostility yetu waliotupachikia vichwani mwao bado wanaipenda Tanzania and wish to live in, imagine mpaka chakula wanaagiza Tanzania wakati hata wakinunua huko huko kwao bado kimetoka Tanzania 😅😅😅Nicheke mie 😂 😂 😂 wanajiona wao na SA ni levo moja 🤣🤣
Wakufunga boda ni Sisi, Tanzania, Uganda...the whole of EA . Angalia the inflilux of them they hizi nchi zote!!
Yani hawa jamaa wanamatatizo balaa, dah!!!