Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu mnasema sisi ni wafungwa wa akili. No Kenyan can celebrate this bullshit in 2024.

PS......huwa naona mkipost humu shule za huko West Pokot kwa cattle rustlers wanafunzi wakiwa chini ya mti kumbe kwenu hayo yanafanyika mjini tena Darasarama?😂
Huko mnasherehekea choppers za politicians!
 

😂😂😂 Nyie wakenya ni wapumbavu sana, kwamba kwenye list ya greatest athletes Mo Salah anatokea namba kumi? Samuel etoo anakua chini ya Kipchogo? 😂😂😂 legacy iliyoachwa na greatest football players from Africa ni unmatched bro.. usitaji hao mbwa wa michezo ambayo haijulikani kwenye sentensi moja na football players. Dunia haiwajui hao wapumbavu wenu.
 
Hatuwezi jadiliana na mtu ambaye hajui Mathematics. By the way issue hiyo watanzania wameshaiongea na itafanyiwa kazi.

Find X
X!= 3!x5!
Ile hesabu uliyompa jana alidai kwamba imekosewa kwahiyo haina jibu 😂😂😂 kumbe ni vitu ambavyo hajawahi hata kuviona. Halafu anajipiga kifua kwamba anajua hesabu.
 
😂😂😂 Nyie wakenya ni wapumbavu sana, kwamba kwenye list ya greatest athletes Mo Salah anatokea namba kumi? Samuel etoo anakua chini ya Kipchogo? 😂😂😂 legacy iliyoachwa na greatest football players from Africa ni unmatched bro.. usitaji hao mbwa wa michezo ambayo haijulikani kwenye sentensi moja na football players. Dunia haiwajui hao wapumbavu wenu.
Sasa wewe kijana maskini unasema nini hapa? Hufai kuongea penye watu wanaongea.

Anyway continue crying.

 
Nicheke mie 😂 😂 😂 wanajiona wao na SA ni levo moja 🤣🤣

Wakufunga boda ni Sisi, Tanzania, Uganda...the whole of EA . Angalia the inflilux of them they hizi nchi zote!!

Yani hawa jamaa wanamatatizo balaa, dah!!!
There are more Tanzanians living in Kenya than Kenyans living in Tanzania. Kenyan hosts more East African immigrants than any other country in the world. Sasa nashangaa ukisema influx unamaanisha nini.
 
Hapana kaka sio suala la kusifia hata kidogo bado tuna shida nyingi Sana za kutatua kwenye nchi hii, tunaingia kwenye mkenge WA debt burden kwa kusifiana tu
Viongozi wa mkoa na security organs za mkoa na wanachama wa CCM lazima wamsindikize kongozi wao na kumkabidhi kwa mkoa unaofuata. Pia raisi ana motorcade yake inayohusisha magari ya ikulu na usalama ukijumuisha unapata ni msafara mkubwa sana.
Sikatai unachosema ila inawezekana ikawa ni protocol kwa kiasi fulani.
 
Back
Top Bottom