Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilijua lazima utafute ezcuses 😂😂😂

Magufuli alikopa au hakukopa?
Pesa alizokopa Magufuli hazifikii hata theluthi ya alizokopa Samia.
Na Magufuli kafanya mega projects kuliko Samia.
Samia kakopa PESA NDANI YA MIAKA MITATU SAWIA NA PESA ZA MIAKA HAMSINI YA WATANGULIZI WAKE.
Aya hizo pesa zimefanya nini!?
Embu muda mwingine jaribu kutumia akili walau kidogo.
 
Ukweli upi? Iko wazi kabisa na Samia alisema Serikali yake itakopa na imekopa kutekeleza miradi.

Jibu swali Magufuli alikopa au hakukopa? Nina maswali mengi ya kukuuliza.
Pesa alizokopa Magufuli zinafanana na alizokopa Samia!?
*Ndio Magufuli alikopa.
*Aya na wewe tunajiuliza,Samia kakopa pesa nyingi ndani ya miaka mitatu zaidi ya pesa zilizokopwa miaka 50 na watangulizi wake wote kiujumla,je hizo pesa zimefanya kitu gani kikubwa!??
Tunaomba jibu hapa sasa hivi.
 
Inamaana dakika 25 ikikadiriwa ndio sawa na lisaa!?
Kwahiyo masaa matatu na dakika 25 ni sawa na masaa manne kimakadirio!?
Sio masaa matatu na nusu tena!?
AISEE 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Nimewaambia hawa kima when it comes to rounding off time it is universally acceptable to round off to the nearest 5 or 10 minutes and/or quarter hour.
 
Back
Top Bottom