Mimi huwa naacha tip na risiti kwenye kijidaftari chao cha kuwekea risiti.Yaani unatoka kula sehemu halafu unatunza risiti mfukoni. 😂😂😂
Me hata nikifanya withdraw natupa risiti.
Mimi huwa naacha tip na risiti kwenye kijidaftari chao cha kuwekea risiti.Yaani unatoka kula sehemu halafu unatunza risiti mfukoni. 😂😂😂
Me hata nikifanya withdraw natupa risiti.
Tupe square meters za hiyo mall yenu tufanye comparison.Acha kuropokwa mzee. Hiyo picha nimepost is only for the retail part of the mall. Whoever cheated you that hiyo small building ndio itakuwa the biggest in East Africa aliwapima akili.
Square meters please.The biggest mall in East Africa according to Tanzanians.
View attachment 3044112
Sarit Center which so far bigger than that shop.
View attachment 3044113
Akirudi ni tag na mimi nasubiria majibu yangu 😁Wacha kuhangaika wewe mpumbavu, leta facts. Ni sq metter ngapi zinapamgishika in these malls you mention that they bigger than EACLC ? Nipo hapa nangoja majibu 😂😂😂
Weka picha yake hapa tuone 😁It’s time to bust the bubbles of Tanzanian witches now. Biggest mall in East and Central Africa.
View attachment 3044143
Wenzako wametoroka unadhani wewe ndio utawezana?😂😂😂Weka picha yake hapa tuone 😁
Hawezi kukupa ,ila atajitoa tu ufahamu😁😁Square meters please.
Watatoroka vipi wakati shopping space yenyewe ni ndogo kuliko hata two river mall ona wenzako wanavyojadiliana kuhusu hii busness bay naona hata kina Tony254 wapo huko ndani pia.
Hii hapa mkuu haifiki hata 30kHawezi kukupa ,ila atajitoa tu ufahamu😁😁
Unatuletea links za umbea kama tu Jamii Forum?😂😂👇👇Watatoroka vipi wakati shopping space yenyewe ni ndogo kuliko hata two river mall ona wenzako wanavyojadiliana kuhusu hii busness bay naona hata kina Tony254 wapo huko ndani pia.
Mnahesabu mpaka square meter za parking, msikiti na kanisa dah nyie shida sana.
Bado unaleta tu umbea za Skyscraper City?😂😂👇👇Hii hapa mkuu haifiki hata 30k
Sisi tutulie na Rusian na China. YSA hawana udugu na mtu, wao ni faida tu na si vinginevyo.Non NATO ally
Upuuzi mtupu.Nairobi is 10x advanced compare to Dar es Saalam...
Kuna hii nyingine pia, very ugly. Yani Hawa majamaa kwa designs hawapo kabisa.😂😂😂Watanzania bado hawajui what malls are. Alafu another reason why it’s ugly like that it’s because it wasn’t designed by Kenyans.
Umemfanysa Mwarabu Bonoko apost picha za uhalisia za Kenya bro. Kawaida yake huwa anachagua vipicha vibovu akipost ndio Kenya ionekane ovyo. Hii reverse psychology imefanya kazi vizuri sana.😂😂Naona Huyo mwenye ulienda kutembelea alikuweka poa.