REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,665
- 11,669
Mlikuwa hamuishi uhalisia. Sasa kama uchumi wenu uko juu iwaje hata mishara ni shida na sasa mpaka mawaziri na marais wastaaf wamekatwa maokoto yao?Most of this Bongolalas hawajui uchumi wetu ulishinda wao mwaka wa 2005. Wameaminishwa tuliachiwa uchumi Bora na Muingereza halafu ndio wameanza kutukaribia.๐๐๐
Acha upumbavu wewe time huwa rounded off to the nearest quarter hour or to the nearest 5 or 10 minutes. Elimu bure kabisaNdio maana wanadhani ukiround off 3:35 to the nearest hr ni 3. The concept of minutes being a different scalar to hours doesn't exist in their heads.๐๐๐
5hrs kivipi wakati ratiba inaseme masaa 6 ๐ ๐ ๐Nbo-Msa ni 470kms na Madaraka Express inachukua 5.1hrs
Speed = 470/5.1
=92kph
137kph vs 92kph.
Mshahara ni shida wakati Civil servants Mshahara unaingia tarehe 26, mind you kenya ina ina civil servant wengi kuliko Tanzania na mshahara mnono๐ฌMlikuwa hamuishi uhalisia. Sasa kama uchumi wenu uko juu iwaje hata mishara ni shida na sasa mpaka mawaziri na marais wastaaf wamekatwa maokoto yao?
Angalia vizuri hio ratiba5hrs kivipi wakati ratiba inaseme masaa 6 ๐ ๐ ๐
Matano au sita?Nbo-Msa ni 470kms na Madaraka Express inachukua 5.1hrs
Speed = 470/5.1
=92kph
137kph vs 92kph.
Nionyeshe hivo vituo manake ni kimoja cha morogoro na within dakika 5 treni imeondoka. So wacha tufanye adjustment ya hizo dakika
3:25-0:05= 3:20
Speed = distance/time
= 457/3.3
Speed = 138.5km/h
Wajanja tunajua average speed ni 140km/h
Huna tofauti na Teargas๐Angalia vizuri hio ratiba
Hizo truck chasses buses zina AC au ndio kama vyuma chakavu vya kq?Moyale bound buses made in Kenya. View attachment 3046370
Mnajitutumua sana! Mlituambia nini hasa?
Tizama express train arrival ni 20:08 na departure ni 15:00Matano au sita?
Mbona unafupisha masaa!?
Sasa sisi masaa matatu na dakika 25 nani zaidi?
Na hapo haijaamua kutembea higher speed kama ya Dar to Morogoro 170+kmph.
Je ikianza kutembea huo mwendo Dodoma tunafika saa ngapi!?
Still mnatembea taratibu.Tizama express train arrival ni 20:08 na departure ni 15:00
Tofauti= 5hrs 8min
8/60= 0.13
Time= 5.13hrs
Speed= 470/5.13
=91.6kph
6hrs ni intercounty ambayo inasimama 7 station inbetween.
View attachment 3046610
Tanzanian total workforce ni mara tatu ya Kenya na alomost mara mbili ile ya South Africa. Wasouth walifanya komparizon kwenye sekta ya kilimo tu wakanyoosha mikono. Over 80% ya wafanyakazi kwenye hospitality industry ni Wakenya na husikii kelele kuwa wanashukua kazi zetu.Mshahara ni shida wakati Civil servants Mshahara unaingia tarehe 26, mind you kenya ina ina civil servant wengi kuliko Tanzania na mshahara mnono๐ฌ
๐๐๐ kwahiyo umeamua kujitoa ufahamu? Yani saa 2 kamili asubuhi hadi saa nane na dakika kumi ni masaa matano? ๐๐๐. Oky so now which train is faster between Tz train vs Kenyan train? ๐๐๐ usione aibu kuongea ukweli.Nbo-Msa ni 470kms na Madaraka Express inachukua 5.1hrs
Speed = 470/5.1
=92kph
137kph vs 92kph.
Hiyo schedule ya express iko wapi? I want to see it. ๐๐๐Tizama express train arrival ni 20:08 na departure ni 15:00
Tofauti= 5hrs 8min
8/60= 0.13
Time= 5.13hrs
Speed= 470/5.13
=91.6kph
6hrs ni intercounty ambayo inasimama 7 station inbetween.
View attachment 3046610
You're even dumber than I initially thought. Geza Ulole kuja uokote hii ng'ombe yako.๐ฎ๐ฎ๐ฎAcha upumbavu wewe time huwa rounded off to the nearest quarter hour or to the nearest 5 or 10 minutes. Elimu bure kabisa
Sasa wewe jiniasi unaona tofauti ya 45kph ni ndogo? Ushawahi kuendesha gari at 90kph them mtu akakupitq na 135kph? Ushaangalia F1 kuna DRS zone ambapo dereva anaefukuza anapata advantage ya 7-12kph tu. Sasa angalia tofauti yake utajua kuwa aliekuzidi 45kph kakuacha mbali sana.Nbo-Msa ni 470kms na Madaraka Express inachukua 5.1hrs
Speed = 470/5.1
=92kph
137kph vs 92kph.
Tunahangaika na bumunda!?Sasa wewe jiniasi unaona tofauti ya 45kph ni ndogo? Ushawahi kuendesha gari at 90kph them mtu akakupitq na 135kph? Ushaangalia F1 kuna DRS zone ambapo dereva anaefukuza anapata advantage ya 7-12kph tu. Sasa angalia tofauti yake utajua kuwa aliekuzidi 45kph kakuacha mbali sana.
Inasimama 7 different stations so bado speed ni hio 90 to 100Hiyo schedule ya express iko wapi? I want to see it. ๐๐๐
Second , ikiwa express yenye unadai inaenda 5 hrs inatembea speed ya 90km/hr hii ingine yenye ni 6:30 hr inatembea how many km for an hour?