The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,485
- 98,538
Team A iko wapi !! Can you mention? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Team C
Team A iko wapi !! Can you mention? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Team C
Ati hii pia ni mall?😂😂Kuna hii nyingine pia, very ugly. Yani Hawa majamaa kwa designs hawapo kabisa.😂😂😂
View attachment 3044335
In Kenya, these are shops, not a mall.😂😂Ati hii pia ni mall?😂😂
Picha linaanza kwenye nembo ya timu (logo) imekaa kifukara kinoma aisee 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Imagine timu bora huko kenya inayoongoza ligi miaka nane mfululuzo imeshika mkia na kuzidiwa na vitimu vidogo. Haijashinda hata mechi moja.
Ligi ya kenya ni weak kiasi gan sijui
View attachment 3044220
Ameomba radhi ika kama hutaki kamtoe wewe basi uridhikeItashangaza sana mtu kama Nape kuendelea kuwa waziri kwenye hii serikali ya anaupiga mwingi kama wapo serious.
Wasipomla kichwa huyu mtu, ndio nitaendelea kuamin mama hana maamuzi
Ndio wanaotoa mikopo ya miradi ya majiHivi kwanini kampuni za India zinapewa tender Tanzania?
Swali kama hili hukuoaswa kuuliza wewe Mzee unanitia aibu.Hivi kwanini kampuni za India zinapewa tender Tanzania?
Usisahau huo Mkopo ulisainiwa awamu ya 5 na Kwa hayo masharti yaliyopoNdio wanaotoa mikopo ya miradi ya maji
Tulia wewe , acha kimbele mbeleNairobi is 10x advanced compare to Dar es Saalam. Sisi wabongo tuache mbwembwe ila kwa Africa Nairobi tumlinganishe na Cairo, Johannesburg au Rabat.
Hela ya kujenga nyumba nzuri nitafute mim (baba mwenye nyumba), afu dogo (mama) akikamilisha mjengo ndo kaupiga mwingiUsisahau huo Mkopo ulisainiwa awamu ya 5 na Kwa hayo masharti yaliyopo View attachment 3044509
Miradi 1700 ya maji inaendelea Nchi nzima yaani ni 🔥🔥🔥
View: https://www.instagram.com/p/C3uDgYmNQ1V/?igsh=MWswM2R6dWI4MTJseg==
Meanwhile huko Kunyaland Hali.iko hivi 👇👇
View: https://twitter.com/Amref_Worldwide/status/1761992069344579850?t=S-hBO5HJuuEptMSGr8IFhQ&s=19
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Kazi ya kuhakikisha Kila Mtanzania anafikiwa na maji inaendelea Handeni.
1.Bilioni 171
2.Bil.25
Mama Yuko kazini 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C3m1V8PK6Ys/?igsh=d2pkZmdwOWRtb2dn
By disemba 2025,Kila Kijiji kitakuwa na maji ya Bomba.👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C34ndtoqbMt/?igsh=MXhyMjJrejE3Z3VuMQ==
By desemba 2030 ,Mama atakuwa ameshafuta habari ya maji hapa Tanzania.