ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268
Kwani awamu ya 5 na nyie mlikuwa mnakopa? ๐๐๐๐๐๐๐๐๐.Hela ya kujenga nyumba nzuri nitafute mim (baba mwenye nyumba), afu dogo (mama) akikamilisha mjengo ndo kaupiga mwingi
Tuendelee kuimba MAMA YUKO KAZINI,
MAMA KAUPIGA MWINGI
Usiingie kwenye vita vya bunduki ukiwa na magogo tu
Ukishindwa kujenga unasaidiwa ndio maana wahindi hawakutoa pesa Kwa sababu mliwa harass wafanyabiashara wa kihindi na kuvuruga biashara zao za mbaazi,korosho nk.
My Take: Samia ndio atafuta shida ya Maji Nchi hii na wewe unajua ila chuki zako ndio zinakusumbua.