Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,705
- 107,150
Na waziri bashe Yuko ofisini anakenua Meno😂Kumbe mumenunua? Nikajua mumeshindwa kununua.
Endeleeni kununua Serikali ipate Kodi ya kuwahudumia
In Kenya, these are shops, not a mall.😂😂
View: https://x.com/OfficialMkapa/status/1813371344270102545?t=8Yif9dyUEsVYWC_uBgRdVg&s=19
Watanzania wanaelewa in and out ya maisha ya wakunya
Marekani Kwa uzoefu wangu hajawahi kuwa na bad deals Kwa hapa Tanzania labda huko Kwa Mke wao Kundustan wanakowapelekesha.Hawa mbwa mbona wanakuja sana sasa hivi juzi tuu ulikuja ujumbe wa congress leo wataalamu wa serikali ya Yues unajua wanatafuta nini?
Jibu ni moja tuu to establish their leverage on strategic minerals against the Chinese ukizingatia china ndio exporter mkubwa wa strategic minerals for geeen energy na hali ilivyo kwenye soko la dunia China kapiga ban exports ya haya madini Western countries wenye agenda ya climate wanahaha kutafuta new supplies sasa.
My advise tufanye nao biashara cautiously tusije tukapewa bad deal ukakuta na sisi tunapokea decommissioned choppers 🤣🤣🤣
Kama unasikia Raha akikenua na wewe omba kazi uteuliwe then ukenue 😆😆Na waziri bashe Yuko ofisini anakenua Meno😂
Kiroba kinamsubiriAiseee huyu aliyetengeneza hii kitu atafute pa kulala! Akae chonjo!
Timu inatolewa mapema hata kwenye makombe ya mbuzi 🤣🤣🤣🤣
View: https://x.com/KBCChannel1/status/1813238858273943563?t=TtY8iwygUMkYBTHb0uLy7w&s=19