MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,192
- 13,444
It is so painful sana but Ndio reality ya maisha.Ahmad international airport pale doha wasadisha vyoo terminals zote ni kunyan,mshahara usd 300,hiyo pesa ni kipato cha bodaboda wa TZ,imagine mtu yuko abroad anaishi vipi na usd 300 na familia inamtegemea!
Kuna mtu anakuja humu kusifia wao Wana High income