Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
Uzuri watanzania bana kwenye kuchangamkia fursa huwa tupo vizuri na ndio maana labda wengi wanalizwa na miradi binafsi kama ile ya vanilla sijui mr kuku, mara JATU, zamani DECI etc hii inaonesha watanzania tunachangamkia fursa sana na hili la apple sababu lipo international zaidi, wakundustan wategemee kuziona apples za Tanzania kwenye shelves zao muda so mrefu
View: https://x.com/tamutamutanzani/status/1759521021021839427?t=mAUMqV4sbkM3BIuPtW5SBw&s=19
We are hardworker,soon kwenye sekta ya biashara china tutaihamishia TZ na sekta ya kilimo tutalisha afrika yote halafu kuna wasafisha vyoo vya waarabu uwa wanadai sie ni malazy na bado tunawalisha na sasa hivi tunawavisha,kunyan wamejaa kkoo kwa handbag za kinamama,abaya na madera,kkoo ndio china yao sasa hivi