Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Please post the supporting document here, I’m sure hapo Buxton either ulienda kutembelea mtu ama ulienda tu kuzubaa hapo kwa gate. Wewe ulikuwa unaishi Bangladesh.

Please post accommodation receipt here.
Supporting documents mm yann wakat mm Nina spend Tu, natumia pesa zangu sio za kampuni wala ya Nani kwamba watadai risiti mm hata nikiweka mafuta sheli sichukui risiti ya nn inanisaidia nn??😂😂😂😂😂😂

Yani niende Mombasa na Benz nikalale kwenye slums 😂😂😂😂😂😂
20240620_212551.jpg
20240620_212557.jpg
 
Supporting documents mm yann wakat mm Nina spend Tu, natumia pesa zangu sio za kampuni wala ya Nani kwamba watadai risiti mm hata nikiweka mafuta sheli sichukui risiti ya nn inanisaidia nn??😂😂😂😂😂😂

Yani niende Mombasa na Benz nikalale kwenye slums 😂😂😂😂😂😂
View attachment 3043976View attachment 3043977
Unajua maana ya receipt wewe chokoraa? Hii picha hata mtu homeless anaezachukua.

Kama huna basi tuonyeshe prove of payment. Any kind of message, na hujue Buxton hakuna mambo ya cash so usitudanganye.
 
Supporting documents mm yann wakat mm Nina spend Tu, natumia pesa zangu sio za kampuni wala ya Nani kwamba watadai risiti mm hata nikiweka mafuta sheli sichukui risiti ya nn inanisaidia nn??😂😂😂😂😂😂

Yani niende Mombasa na Benz nikalale kwenye slums 😂😂😂😂😂😂
View attachment 3043976View attachment 3043977
No wonder kila akila chakula lazima atunze risiti. 😂😂😂
 
Anaita Tanzania nchi ya misaada halafu baada ya dk chache anapost vitu walivyo pewa misaada tena mitumba. 😂😂😂
Tanzania inapewa misaada ya vyoo. That’s an embarrassment that hata Somalia hawaezikubali.
 
Ingia Google search donate toilets kenya Kisha rudi hapa. 😂😂😂
 
Back
Top Bottom