Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Democratic Kunyaland

Screenshot_20240716-134331.jpg
 
Acha uongo. AMA unadhani hatujui nyinyi ndio mnaiba avocado za Kenya?
View attachment 3043739
Uongo upi sasa? Huoni huyo ni mfanyabiashara wa parachichi anasema parachichi zote zinapitia Mombasa?

Huyu mbunge pia anasema parachichi za kilimanjaro zinauzwa Kunyaland then packed to Kunyaland as Kunyaland produces, hamna uwezo wa kuizidi Tanzania kwenye kilimo cha parachichi


View: https://x.com/CloudsMediaLive/status/1260221231573467143?t=kbfLEAtEcr65d4b_MkS_Fg&s=19
 
BTW, Nyayo has been approved by CAF. I wonder mtakua mnapigia nini kelele sasa. 🤣 🤣 🤣
List ya viwanja vilivyokula approval imepostiwa juzi tu, na hakuna uwanja wa taifa lenu la kipumbavu uliopata approval. Haya tueleze hiyo nyayo stadium imepata lini uthibitisho? 😂😂 au wewe umeendelea na tabia yako ya Ubishi na uongo?
 
Kwani hamjaitupita? January si ulikuwa unasema ati Tanzania ishapita Kenya😂😂
Tulia bado nafasi 6 tu.
Mlituzidi nafasi 12 tumepunguza 6 bado 6.
Na graph yenu inaonesha mstari mwekundu unaoelekea chini uko indicate (bad falling) kwa mujibu wa Fifa.
 
Back
Top Bottom