Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Actually 90% ya avocados passing through Mombasa port to overseas and regarded their country of origin is Kunyaland are actually from Tanzania

View: https://youtu.be/q-FwEABRy_c?si=Z4o6VP-2v3BNkWYu

Acha uongo. AMA unadhani hatujui nyinyi ndio mnaiba avocado za Kenya?
IMG_0359.png
 
2 nakubali bila shaka you have approved 🙏.

One naikataa why? Look at the date? Kipindi hicho ndio kupaka matope legacy imepamba na kutafuta kujustify mikopo yao ya ajabu ajabu.

Na sijakataa kabisa SGR inafinanciwa go back to comment ni LOT 1 DAR - MORO ndio nimelenga.

Can you do like 2? Source ipo clear 2017, na WB financer wenyewe wamesema.

Welcome back, I hope utatafuta na source ya 10+ zilizobaki.
 
Hii serikali ya sasa hivi imejaa uzembe wa hali ya juu. Barabara nyingi ziliharibika mashimo madogo tu, wakaamua kuyaacha eti mvua ziishe. Matokeo ya mashimo yamekuwa makubwa na stretch ndefu za barabara za mitaani zimeharibika. Sasa inahitajika hela nyingi sana kurekebisha hizo barabara yaani gharama kama kujenga barabra nyingine ndefu na nyingi, sasa mvua imeisha na hela za kukarabati hawana.
Huko mitaani hasa majimbo ya ubungo na kibamba mitaa karibia yote haina barabara toka nov last year,walihaidi april mwaka huu mvua zikikata wanaanza ujenzi ila hadi leo kimyaa!
 
Sisi tunabuni majengo yenu marefu nyinyi mnaringa juu ya kubuni jersey? Halafu tukibuni majengo ni kitu Cha kawaida nyie mkibuni jersey mnatangaza. 😂Enyewe hatuko level Moja.,😂😂😂😂
Do you own them? Alafu kama mnabuni shuleni kwenu madirisha na nondo ngumu hamna ufahamu nayo hadi yaporomoke kila siku?

Alafu hapo ni Football inaongelewa si tunasema sisi ni football nation proving in all areas. Kama unataka ujenzi mbona ushaletewa humu kabisa?
 
Footballing nation at position 120 worldwide?😂😂😂.

Tanzania is not a footballing nation, actually Tanzania is not even a sporting nation.
Haya basi, waambie Gor Mahia wakawafate Manchester united, wawatafute Nike wawatengenezee jezi, waambie CAF waondoe TIMU nne za Tanzania kuingia mashindano yao, Waambie CAF watuondoe AFL (African Football League), Waambie CAF wamuondoe HERSI SAID kwenye uongozi wa CAF, iambie FKF yenu iache kuita DUKE ABUYA Harambee stars na kumuweka kabisa kwenye mechi.

Waambie Nigeria wamejaa mastaa wengi Hakuna haja ya kumuweka first eleven TANIMU wa Singida Black Stars ipo nafasi ya chini.

We mbwa mataifa kama BOTSWANA, NIGERIA, TOGO, KENYA, UGANDA, BURUNDI, ZAMBIA, MOZAMBIQUE, BURKNA FASO, MALI

Ni wajinga kuita vijana wao na kuwaweka FIRST ELEVEN kuliko wewe? Eeh why usianze na FKF huko?
 
Imagine Hizo vitu zote umetaja bado Kenya is ahead of Tanzania in terms of football😂😂😂
 
Haya basi, waambie Gor Mahia wakawafate Manchester united, wawatafute Nike wawatengenezee jezi, waambie CAF waondoe TIMU nne za Tanzania kuingia mashindano yao, Waambie CAF watuondoe AFL (African Football League), Waambie CAF wamuondoe HERSI SAID kwenye uongozi wa CAF, iambie FKF yenu iache kuita DUKE ABUYA Harambee stars na kumuweka kabisa kwenye mechi.

Waambie Nigeria wamejaa mastaa wengi Hakuna haja ya kumuweka first eleven TANIMU wa Singida Black Stars ipo nafasi ya chini.

We mbwa mataifa kama BOTSWANA, NIGERIA, TOGO, KENYA, UGANDA, BURUNDI, ZAMBIA, MOZAMBIQUE, BURKNA FASO, MALI

Ni wajinga kuita vijana wao na kuwaweka FIRST ELEVEN kuliko wewe? Eeh why usianze na FKF huko?
Bila kusahau Tanzania tunazidi kupanda,sasa hivi ni wa 114 Fifa rank.
Kenya 108 bado hatua chache tuwakute.
 
Back
Top Bottom