Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Serikali ya Ruto ipo wapi? Imegoma kuopoa miili?
Serikali yao ipo hovyo sana kwenye kitengo cha dharura na maafa, hata mfe 100 kila mtu ataenda Kufanya emergency service binafsi, gharama za matibabu kwa majeruhi juu yako na gharama zote za mazishi, serikali haihusiki kwa chochote kuna vitu Tanzania tunatake for granted sana
 

View: https://www.instagram.com/p/C9eaCXxMZEZ/?igsh=MXF3eGRoaXd2M2dhbA==
wasafifm_1721115787285963.jpg
wasafifm_172111578728585.jpg
wasafifm_1721115787285127.jpg
wasafifm_1721115787285424.jpg
 
Mnuka nnyaa Karudi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Hawa wakenya jf hawawezi kuiacha kabisa, licha ya kupigwa ban lkn kakosa platform nyingine ya maana karudi tena huku huku 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Najua ulikuwa unatamani nikuwe banned milele, for your information I’m back like never before. Today I’m off so leo ni kuwapea tu mavichapo left right and center.
 
Sasa Ksh16,000 pia ni pesa ya kuringia mtu?😂😂😂 Fika Mtwapa uone hiyo pesa kidogo ikimalizwa na malaya mmoja within minutes.
Hio siku nilikua naondoka na ndio change ilikua imebaki mzee😂😂😂😂😂

Malaya wapo mpaka WA 100ksh Yani nchi inanuka umaskini kila mmoja analalamika na maisha
 
Back
Top Bottom