Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwa mnasema mnazo tatu, Ile nyingine imenyang'anywa approvals?😂😂
Angalia list ya CAF utaona Mkapa, Azam na Amaan Zanzibar. Huwa wanasema 2 kwa ligi ya mainland. Zanzibar wana league yao na ni member wa CAF wanahesabika tofauti.
All in all our country has 3 approved stadiums and 3 more will be approved in the near future.
 
Back
Top Bottom