Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Saaa unawezaje kuiacha New Amani stadium? Pia kuna uwanja unaitwa Mao Tsetung upo Zanzibar nao pia mda c mrefu utakuwa approved, ofcz tunategemea kuwa na 4 CAF approved stadiums ni suala la muda tu.
New Amani bado hawajaja Tu kukagua ila ina all CAF standards na soon wata approve

Nitamtag asubiri Tu😂😂😂😂
 
Huu hapa uwanja wa KMC , Mwenge Dar es Salaam
IMG_0186.jpeg
IMG_0183.jpeg
IMG_0185.jpeg
 
Kila kitu nyumba mpaka watu wanaonekana kama wenyewe ni dumpsters, halafu mnasemaga mna freedom of expression na hamna uoga, sasa mbona mmeuawa zaidi ya 100 na hamna kitu mnaweza kumuambia Ruto?
Maiti zimekua takataka kwa huko Kenya.
Bimaana is not necessary to bury we weka katika Kiroba tupa dampo.
 
Kila kitu nyumba mpaka watu wanaonekana kama wenyewe ni dumpsters, halafu mnasemaga mna freedom of expression na hamna uoga, sasa mbona mmeuawa zaidi ya 100 na hamna kitu mnaweza kumuambia Ruto?
Ulikuwa unaongelea the mazingira, sahii umegeuza umeingilia vifo. Practice focusing on one topic a time.
 
Back
Top Bottom