Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alafu huu mtaa utawaka sana, nimeona Polisi pale pigwa pavements na fensi safi, TRA wanarenovate jengo lao, Station ya zamani under major renovation pamoja na MGR rails, Waterfront nayo under major renovation, yaani ni renovation side to side, sasa tunawakumbusha tena ndugu zetu na ile picha ya eneo hilo walikuwa wanatutukania, waitunze kabisa kwenye archieve waje kuwaambia wajukuu zao namna in two years that place changed its face to the level they can’t comprehend, waitumie kuwaambia namna miujiza hutokea, itunzeni hiyo picha msidelete…..😅😅😅
Serikali ya jiji la Dar es Salaam ifanye kitu kuhusu hizi bajaji na bodaboda city centre na Mainroads.
Ndo tatizo lililobaki kufanya Dar es Salaam kuwa first world city.

Wapige ban importation ya Bajaji na bodaboda. Zilizopo zifanye biashara mitaani sio kwenye Mainroads na city centre.
Bajaji, Bodaboda zilizosajiliwa Bolt, uber zenye label na madereva wamevaa vizibao ndo waruhusuwe kuingia City Centre na Mainroads
 
Unazingua sana kama mama anajua anachofanya

Vivuko vipo wapi vile vya Kigamboni?
BRT ipo Wapi?
Mikopo yote ya nini ikiwa Madini yanatoa pesa, Mazao yanatoa pesa, Makusanyo kama yooote, Tozo kama zoote?
Why alitaka badili sheria ya permanent sovereignty kama anaipenda au ana nia njema na nchi?

Eti vimradi hata havifiki 1trilion. Tukuletee bei ya miradi ya Mzee baba?
MKUU NAKUSISITIZA KWA HERUFI KUBWA,USIJIPOTEZEE MUDA KUJADILI NA HUYO JAMAA AISEE.
Ni ngumu kushinda mjadala na mwerevu ila ni karibia haiwezekani kushinda mjadala dhidi ya mjinga.
Swali dogo tu,Samia kakopa pesa ndani ya miaka mitatu zaidi ya watangulizi wake wote.
Sasa jiulize hizo pesa alizokopa JE ZINAENDANA NA MIRADI ANAYOIENDESHA!?
ACHANA NA HUYO FALA ATAKUCHOSHA.
 
You think hatukupinga?

Acha kushikiria akili kwamba sisi wote ni machawa hatuoni mema wala mabaya, upo free kupitia comments kipindi cha Magufuli.

Unajua kwanini tulimkubali sana, tuliona nchi ina kiongozi kabisa

Inshu yoyote anadili nayo kila kona ili next time haifurukuti tena inakua sustainable.

1. Madini (Sheria, na Mirahaba, masoko, ulinzi (mererarni)

2. Umeme (Tanesco ilikua imejaa watu wa umeme, JNHP, Ufufuaji kituo cha Ubungo, usimamizi wa uhakika) now unadhani tusingekua na JNHP tungekuaje?

3. Sukari (Kumpa bhakresa ardhi kubwa bagamoyo ili awekeze (Bagamoyo Sugar), Uanzishaji wa Mkulanzi Sugar)

4. Mlundikano wa Wagonjwa hospital (Ujenzi wa Hospital nchi nzima mpaka vijijini. I hope hutajisahaulisha zahanati kila kijiji, hapa mpe credit Mama kwa kusambaza vifaa not otherwise)

5. Export ya Agricultural goods (Ununuzi wa ndege, Machinjio ya kisasa, mapambano dhidi ya middlemen)

6. Mrundikano wa jiji (Going to Dom City, kuhamishia kila kitu kule)

Na ni mengi, now niambia Mama kuna tatizo gani kaliundia long term solution?

Kodi hamna plan mpya kabisa mnawaza tozo, migomo ya wafanyabiashara kila kukicha no plan anatumbua huyu anakuja mwingine inaendelea (Wakati hamjiulizi bandari ndio inasababisha pia migomo kutokana na gharama kua kubwa kushindwa mudu kupelekea kodi kuonwa adui pia).

Yaani kila tatizo likiibukwa now tunaona vituko tu, dola inaporomoka hakuna plan, viwanda vinaanza kuongezeka nchini ila hakuna plan ya kuvilinda matamko mengi. Ajabu inshu ikiibuka tunakodiwa Steve Nyerere, Manara, Kitenge, Mwinjaku, Baba levo, Dotto magari ndio watupigie kelele

Sometimes kaa chini tafakari kwa angle zote ndio uje utupigie kelele, sio utuletee kadaraja ka TARURA kupuliza Tarumbeta while major source of Government income inagawiwa ambayo results ni kodi kuongezeka na kuongeza another years of hopelessness.

Mtu kama mwingilu ana timu ya mpira ghali hapa kama kiongozi inaleta maana gani? Unajaza watu wasio na taaluma, nidhamu kazini hamna (why usifanyie test kwenda office ya serikali kupata huduma).

Mwambie mama awe leader sio manager wa nchi tutamfollow tu sababu ni Mtanzania mwenzetu.
We jamaa unanikera aisee!?
Unampigiaje mbuzi gitaa!?
 
Serikali ya jiji la Dar es Salaam ifanye kitu kuhusu hizi bajaji na bodaboda city centre na Mainroads.
Ndo tatizo lililobaki kufanya Dar es Salaam kuwa first world city.

Wapige ban importation ya Bajaji na bodaboda. Zilizopo zifanye biashara mitaani sio kwenye Mainroads na city centre.
Bajaji, Bodaboda zilizosajiliwa Bolt, uber zenye label na madereva wamevaa vizibao ndo waruhusuwe kuingia City Centre na Mainroads
Miradi ya Mkwere hii.
 
Zisiingie city center!
 
Umeshindwa kuonesha pesa zilizokopwa Sasa umehamisha goli 🤣🤣🤣🤣🤣

Kwanza elewa Mimi siko interested na mambo ya Sgr since then na sijabadili mtizamo,Sgr ni cosmetic project.

Najibi hapa Kwa sababu tuu unaizushia Serikali ya Mama ,but pamoja na hayo hizo lots ujenzi ulianza japo una SUA sua.👇👇

View: https://youtu.be/4JlUCgIygeA?si=gP6W1565cIt5ju_Y

Hauko interested kwann mukope pesa sasa ni kwa ajili ya nn?? Miradi inanuka mikopo ya kutisha alaf tukae kusifiana Tu 😁😁😁

Hutapata sehemu yoyote lot3, 4 and 6 zinajengwa kwa pesa za ndani mpaka kufa

Miaka 3 Tu deni ni kubwa kuliko awamu tano zaidi ya miaka 36

Hakuna mtanzania mjinga SASA hvi mzee

Lots zimeanza zinasuasua ziko wapi?? Pesa zimekopwa hapa ziko wapi zinafanya nn, ikiwa BRT phase 2 ni mikopo kutoka world bank SASA ujenzi wake umefika zaidi ya miaka 4 na bado tuko sijui 70% unataka bado tukae tunasifiana Tu 😁😁😁😁😁😁
 
Serikali ya jiji la Dar es Salaam ifanye kitu kuhusu hizi bajaji na bodaboda city centre na Mainroads.
Ndo tatizo lililobaki kufanya Dar es Salaam kuwa first world city.

Wapige ban importation ya Bajaji na bodaboda. Zilizopo zifanye biashara mitaani sio kwenye Mainroads na city centre.
Bajaji, Bodaboda zilizosajiliwa Bolt, uber zenye label na madereva wamevaa vizibao ndo waruhusuwe kuingia City Centre na Mainroads
Labda atoke kiongozi mkali mwenye misimamo madhubuti Hilo linaweza kufanyika lakini kwa SASA ngumu bado kuna kuna mambo ya mtoto WA shangazi na mjomba 😁😁😁😁😁
 
Labda atoke kiongozi mkali mwenye misimamo madhubuti Hilo linaweza kufanyika lakini kwa SASA ngumu bado kuna kuna mambo ya mtoto WA shangazi na mjomba 😁😁😁😁😁
Tatizo watu wanaingiza siasa kwenye mambo ya msingi.
Hizo ajali za mara kwa mara kwenye mwendokasi tatizo kuu ni bodaboda.

Time is coming. Hata Mungu anatusikia tu .
Watz 60million vilio vyao vya kuikataa hii serikali vitajibiwa tu.
Time will tell
 
Serikali ya jiji la Dar es Salaam ifanye kitu kuhusu hizi bajaji na bodaboda city centre na Mainroads.
Ndo tatizo lililobaki kufanya Dar es Salaam kuwa first world city.

Wapige ban importation ya Bajaji na bodaboda. Zilizopo zifanye biashara mitaani sio kwenye Mainroads na city centre.
Bajaji, Bodaboda zilizosajiliwa Bolt, uber zenye label na madereva wamevaa vizibao ndo waruhusuwe kuingia City Centre na Mainroads
Hizo bajaj za city centre polisi wanachukua kitu kidogo kila bajaj 5000 kwa siku. Walioruhusiwa hapo mwanzo ni vilema wenye bajaj lakini cha ajabu zimeongezeka sana.
 
Bado kuna TRA Tower inakuja mitaa hiyohiyo 😁

Back
Top Bottom